YANGA-Ligi ya Mabingwa Afrika

Hii timu ya Comoro ngumu sana kufungika na hii inaamisha kuwa Yanga ni timu kubwa na imejiimarisha na kusema kweli inatisha!Tuegemee matokeo mazuri kwenye mechi zinazofuatia.
... Nina uhakika safari yenu wanayanga inaishia hapo kama leo mmewaokota hao wa-comoro 8-1, nadhani nanyi pia lazima mchapwe idadi hiyo hiyo na Al-Ahly ya Misri kwani ndio mtakayokutana nayo next!!! habari ndio hiyo!
 
Hogereni Yanga kwa kutuwakilisha vema. Ni kawaida yenu kuziadabisha hizi timu ndogondogo.... na kujisifu saaaana. Jiandaeni vizuri msituaiibishe kwa Waarabu next round
 
Kwa magoli 8 mkuu wana haki ya kujisifu hasa ukizingatia kuwa wameifunga timu ambayo ni mabingwa wa nchi wanayotoka....What if ingekuwa ni Simba wamewashindilia hawa jamaa magoli haya 8 wasingejisifu saaaana?????,Yanga kwa leo wanastahili sifa mkulu tuwapongeze.Cha msingi ni kwamba wajiandae kikamilifu kwa mechi ya marudiano pamoja na mechi dhidi ya Al Ahly....Be blessed
 
Nadhani hawa ni vibonde!

Sasa bao 8 je kuna haja ya mechi ya marudio kule Moroni? Naona ni kupoteza mda!
 
Kweli bwana, kufungwa goli 8 ni sawa na net ball , nafikiri kwa matumizi mazuri ya resources hamna haja ya marudiano, kwani hata wakicheza na yanga B hawana ubavu wa kurudisha goli 6.

Wanasimba acheni maneno ya mkosaji, yani nyie yeboyebo hata tukifanya vizuri inawauma! Hamjawahi pata ushindi mnono kama huo, kwa hiyo subirini, acheni husda.
 
...Mkuu hapa hakuna mambo ya wanasimba kuacha maneno issue ni kuwa safari yenu inaishia kwa waarabu nina ukakika na nyie mtapata kichapo cha aibu na mtaona hata shid kwenda kwenye mechi ya marudiano.....Kaeni mkao wa kupigwa.
 
Hizo ndoto kaka, si unajua hiyo ni Taifa star ya Afrika Mashariki? Waarabu msimu huu wakae chonjo manake yeboyebo tunatisha, wewe si unaona hata kwenye ligi tofauti ya point na nyie nikubwa kiasi kwamba mnaomba tuendelee kushinda ilituwache mbali zaidi? Wacha kutumia uzoefu mkuu, tumia facts!!!!!!!!!!
 
Hongera KAGODA FC ila nasikitika raundi ijayo tunatolewa
 
Pamoja na Yanga kufunga magoli hayo NANE, Bado rekodi ya Pamba haijavujwa, sikumbuki mwaka gani waliwafunga timu moja iitwayo ANSE BALOU nadhani ya Ushelisheli goli 12 kwa 1 pale CCM-Kirumba na marudiano 5-0. Aidha timu hiyo ilifugwa natimu moja ya Kawe ya ligi ya mchangani goli 2-1. Wenye kumbukumbu nzuri hebu rekebisheni takwimu hizo
 
hivi imekuwaje Yanga siku hizi kila ikiaza champions league wanaamza na wacomoro? hii imekaaje. any way Hongereni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom