Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
kocha kasha anika mchezo mchafu wenu..
kocha amekuwa muongeaji sana bila vitendo.
kocha kasha anika mchezo mchafu wenu..
Ile sheria mpya ya tff inasemaje kuhusu timu inayomtimua refa?
Sijui kwanini soka la bongo halieleweki kiivyo. yaani timu inapofanya vibaya kidogo tu jambo lakwanza ni timua timua. Jamani hata mpira unahitaji uvumilivu wa kutosha ndio tutapata hayo mafanikio vinginevyo tutaishia kuamini kamati za ufundi badala ya kuamini katika Technical bench. Walau Simba kutoka misuko suko ya kagame wameonyesha ukomavu kiasi fulani kuliko hawa wa Jangwani. Juzi pale jamuhuri wamempiga kwa mawe na chupa za maji mzee wa watu eti ameiroga timu ila hilo la kumfanya mbuyu kuwa mchezaji bora kuliko wenzake hawalioni kuwa ni tatizo. Poa wao kwao kivyao na sisi kwetu kwivyetu
Mbona Twite hajafukuzwa?
...under age sir!!Kwahiyo yanga = tom? na unamaanisha bila tom no yanga? How old are you?
Ile sheria mpya ya tff inasemaje kuhusu timu inayomtimua refa?[/QUOTE]
Unamaanisha kocha au?
yanga wamemfukuza kocha Tom, hivi kitendo cha yanga kufungwa 3 na mtibwa ndo mumfukuze kocha?.mbona alivyowapa kagame mlimfurahia sana.haya sasa Manji kaanza na Tom,atafuata twite na yondani ajiandae.
Timu pekee iliyowahi kukumbwa na kashfa ya ushoga Tanzania ni Simba dogo.....soko kutoka kwa yanga, timu ya mashoga kocha kasema ukweli mmemtimua..uliona wapi madume 3 yana lala kitanda kimoja
Refa yupi katimuliwa?Ile sheria mpya ya tff inasemaje kuhusu timu inayomtimua refa?
tatizo la yanga ni kuwa wachezaji wanatumia muda mwingi kujipodoa. Kocha kaliona hilo kaliweka wazi mmemtimua. Kazi mnayo mwaka huu. Mbuyu twite beki wa kutumainiwa
kageuka kuwa uchochoro. 3 za mtibwa mkikutana na mnyama manji lazima aondoke. Poleni watani that is bongo football.