Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
- Thread starter
- #21
Lakini kosa ni la nani? ni Wachezaji au jamii imeshaamua kuwaiga viongozi wa nchi na serikali yetu katika utegemezi?
....after you guys decide to come back and save your mother-countryKatika kilio, Wachezaji wamedai kuwa Uongozi ulifanya mambo hovyo na hivyo ndio maana wanamlilia Manji.
Watanzania tunalia kuwa Uongozi wetu nimbovu, je tumlilie Manji yupi?
Sasa kama hata Uongozi wa mpira tunashindwa, je ni lini Tanzania itapata viongozi wenye kujituma na wabunifu ambao si kuhamasisha tuu, bali hata vitendo vya kuchapa kazi na kujenga imani chanya ya mabadiliko?
Hii ni habari ya Michezo au siasa?
Rev.Kishoka, Niliisikia habari hii jana kwa masikitiko makubwa sana. Hivi sisi tatizo letu kubwa katika akili zetu ni nini? Bila kuwa na neno wafadhili ndio hatuendi mbele? na mbaya zaidi ufadhili huo hatujali unatoka kwa nani. Unamtuhumu mtu kakuibia usiku na asubuhi unampigia magoti kumwomba sukari.
Natatizo hili la ombaomba haliko ktk Club tuu, hata serikali yetu ndio usiseme maana mpaka inajisifu kama vile kuomba ni SIFA.
Katika kilio, Wachezaji wamedai kuwa Uongozi ulifanya mambo hovyo na hivyo ndio maana wanamlilia Manji.
Watanzania tunalia kuwa Uongozi wetu nimbovu, je tumlilie Manji yupi?
Sasa kama hata Uongozi wa mpira tunashindwa, je ni lini Tanzania itapata viongozi wenye kujituma na wabunifu ambao si kuhamasisha tuu, bali hata vitendo vya kuchapa kazi na kujenga imani chanya ya mabadiliko?
MTM umelonga, maana akili zetu huko ndiko zilikofikiaLabda tumpe manji urais... na sisi tufaidi hayo wanayofaidi wachezaji wa yanga!!! YES MANJI FOR PRESIDENCY, REASONS? ASK YANGA PLAYERS, UONGOZI AND FANS!!!
Leo Yanga wanatangazia umma, kuwa Mfadhili kaamua kurudi.
Je iko siku CCM watatutangazia kuwa Mkoloni kaamua kurudi baada ya sisi kumbembeleza kwa kumuomba misaada kila siku?
Leo hii mmekuwa watetezi wa watuhumiwa hao hao wakiwemo AcaciaRev.Kishoka, Niliisikia habari hii jana kwa masikitiko makubwa sana. Hivi sisi tatizo letu kubwa katika akili zetu ni nini? Bila kuwa na neno wafadhili ndio hatuendi mbele? na mbaya zaidi ufadhili huo hatujali unatoka kwa nani. Unamtuhumu mtu kakuibia usiku na asubuhi unampigia magoti kumwomba sukari.
Natatizo hili la ombaomba haliko ktk Club tuu, hata serikali yetu ndio usiseme maana mpaka inajisifu kama vile kuomba ni SIFA.
Leo hii Manji ma Rostam wako wapi? Na ccm iko wapi?CCM mbona wanachangisha wanachama na kuchota kutoka Serikalini lakini bado inawakimbilia Wafadhili kama kina Manji na Rostam?