mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang ,na hawakuipenda yanga kwa sbb ya rangi pia.Ikiwa simba walibadili jina sioni ajabu tukibadili rangi ya jezi zetu.Esperance walibadili rangi kuwa njano na nyekundu kutoka blue na nyeusi.nashauri cc tubadili tuwe njano na blue. Mashabiki ni sawa na wateja wa timu,timu inapokuwa na fan wengi na mapato yanaongezeka.YANGA ilikuwa timu yenye washabk wengi tz,lakini nahc sasakuna mabadiliko.
Ukizingtia rangi inahusika katika psycology ya masoko...
NAKUBALIANA NA WATU KWAMBA YANGA IBADILI JEZI YAKE YAANI IBORESHE ! SI VIZURI KUPOTEZA KABISA HISTORIA BUT AT LEAST ICHANGANYE JEZI MFANO
>> WAWE NA JEZI AMBAYO NI MCHANYIKO WA NJANO,BLUE NA NYEUZI
NAKATAA KUUNGA MKONO MKONO WANAODAI JEZI NYEKUNDU NI YA USHINDI HIZO NI IMANI TU UKWELI NI MDOGO SANA!!! KAMA UNAAMINI MIZIMU NA USHIRIKINA NDO INAWEZA KUWA HIVYO ILA KI UKWELI HAKUNA CHOCHOTE!!! INATEGEMEA DETERMINATION YA TIMU NA WACHEZAJI.
MFANO WAAFRIKA ESPECIALLY TANZANIANS WANAAMINI UCHAWI UNASAIDIA KATIKA SOKA. LAKINI HAKUNA TIMU YA AFRIKA IMEWAHI KUCHUKUA KOMBE LA DUNIA PAMOJA NA UCHAWI WAO!
AU MBONA TIMU NYINGI ZENYE UBORA WA SOKA DUNIANI HAZIVAI NYEKUNDU LAKINI NDIZO BORAAA?
MFANO;
BRAZIL (blue vs Njano), Ujerumani (Nyeusi,nyeupe,njano),Uruguay(Black,Blue),Argentina(Black blue,nyeupe),France(White,blue),Italy(white,Blue),Holand(Orange),Ivory coast(Green)!!!