Yanga badilisheni rangi za jezi plz!

Kama umetumwa na rage huko huko usituletee matapishi yako hapa.Zungumzia mabadiliko ya uongezi au wachezaji we unazungumzia rangi.Nenda kafuate rangi azam tuachie yanga yetu ebo

Una maanisha Yanga hii Kandambili au? Mabadiliko yapi ya uongozi unayoyataka sasa? msisitizo kwenye RED mabadiliko yasaidie nini? Yanga kwani yako au?
 
Kama umetumwa na rage huko huko usituletee matapishi yako hapa.Zungumzia mabadiliko ya uongezi au wachezaji we unazungumzia rangi.Nenda kafuate rangi azam tuachie yanga yetu ebo

kauli zako hazitofautiani na wale makada wazee wa kijani na njano...
bila shaka wewe kada mzee wa kijani na njano, ndio maana umetoa macho kikada kada unataka timu iendelee kuvaa na rangi za chama...:kev:
 
Kama umetumwa na rage huko huko usituletee matapishi yako hapa.Zungumzia mabadiliko ya uongezi au wachezaji we unazungumzia rangi.Nenda kafuate rangi azam tuachie yanga yetu ebo

tangu yanga ianzishwe uongozi umebadilishwa maranyingi sana,na utaendelea kubadilika tena na tena.Hapa tunazungumzia mabadiliko special,kama umetokea fbook,faham kwamba hapa ni the house of great thinkers,hatukariri
 
kwani kati ya Yanga na CCM kipi kilianza?

Umenena vyema bosi wangu.
Yanga ilianzishwa mwaka 1935...na hiyo CCM ilianzishwa mwaka 77.
Sasa iweje Yanga tufuate mawazo yako mtindi hayo yasiyo na vitamin, rutuba wala mbolea?

Well leo Yanga tutabadili rangi kisha tutavaa Bukta ya chani kiwiti na jezi ya rangi ya umbijani, then kesho kutwa kinaibuka chama cha siasa chenye rangi hizo, je utawashauri Yanga wabadili jezi?
Huko kugongana kwa Rangi kusikufanye ukurupuke kuja kuizungumzia timu isiyokuhusu.

Kwanza thread yako ina kichwa cha habari kinachojieleza wazi kuwa wewe sio mshabiki wa Orchestre Yanga Musica.

kama ni mshabiki wa Simba ni vema ukawashauri viongozi wako wakamlipe yule bimkubwa anayewadai pesa ya chapati walizokula wachezaji miaka kadhaa ilopita.
Au kawashauri watengeneze mfumo wa maji taka wa jengo lenu la pale Kariakoo Msimbazi.

Manake puye la harufu ya nnya imetawala maeneo yoote ya karibu na jengo hilo.
 
hatimaye yahoo kuvuliwa uana yanga na nguli la mashabiki ya yanga..
Jitahidini kubadili bwana...
 
Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu,kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang pia,na hawakuipenda yanga kwa sbb ya rangi.Ikiwa simba walibadili jina sioni ajabu tukibadili rangi.Esperance walibadili rangi kuwa njano na nyekundu kutoka blue na nyeusi.Nashauri cc tubadiki tuvae njano na blue.Kumbuka mashabiki ni sawa na wateja wa timu,timu inapokuwa na fan wengi na mapato yanaongezeka.YANGA ilikuwa timu yenye washabk wengi tz,lakini nahc sasakuna mabadiliko.
Na rangi inahusika katika psycology ya masoko
Tuanze kubadili uongozi kwanza then haya yanazungumzika... Tangu nimeifahamu yanga sijawahi kuiona ikifungwa goli 5 tena bila majibu.... Tumepoteza Ubingwa kwa uzembe hivi hivi .....Hilo kwanza
 
hatimaye yahoo kuvuliwa uana yanga na nguli la mashabiki ya yanga..
Jitahidini kubadili bwana...

teh teh teh! Ndechi hilo haliwezekani,nishawahi kukosa mke kutokana na na sharti la kusilimu uanayanga,ingawa nilikubali kubadili dini
 
Hata maksimo alipiga marufku Tstars,kuvaa rangi za njano na kijani,ingawa ni rangi za taifa lake,yote ili kupata consetration kutoka kwa mashak wa simba pia.FAINALI ZA KOMBE LA AFRICA MWKA 96,mashabk wa afr.kusini walikuwa wanamzomea beki wao anaposhika mpira kwa sbbu ya kuvaa viatu vya rangi nyeupe,just bcoz rangi hiyo ni ya wazungu kwenye bendera ya nchi yao.
 
mfano hauendani...
Yanga ni organization amabayo ina mashabiki na ndio wadau wakuu, ambao ni kama wamiliki kwa namna moja...
precison ni kampuni ya binafsi na ni kampuni ya kibiashara ambayo utaitumia tu ukiwa una shida inayokupasa ufanye hivyo!

Kwa hiyo hisabati Yanga ikiwa kampuni binafsi mambo yatakuwa sawa kwa rangi zilezile?
 
Kwa hiyo hisabati Yanga ikiwa kampuni binafsi mambo yatakuwa sawa kwa rangi zilezile?

unaonekana unafikra mgando na una maisha ya kukarr kila kitu.Nyie ndo mnaong'ang'ania kutahiri watoto wenu wa kike just bcoz bibi zenu walifanyiwa hivyo.Yaani hamfungui akili for mawazo mapya
 
mfano hauendani...
Yanga ni organization amabayo ina mashabiki na ndio wadau wakuu, ambao ni kama wamiliki kwa namna moja...
precison ni kampuni ya binafsi na ni kampuni ya kibiashara ambayo utaitumia tu ukiwa una shida inayokupasa ufanye hivyo!

Ha ha ha ha ama kweli JF is the home of great thinkers Yanga ni tofauti na Precision lakini ni sawa na Chama cha Siasa!!!!
 
ninafurahi kuona watanzania wenye mawazo chanya kama haya, ila tatizo..kuna watu humu wanaandika upunguani tu..bila kufikiri umuhimu wa mada.I wish ningekuwa moderator..ningekuwa ninapost comments zenye akili tu..ujinga ujinga hakuna..tutoe mawazo yetu kwa hali ya kujengani na si kukurupuka..Rangi ya Yanga INABOA..ni vyema kubadilishwa isiendane na chama..nyie hamsomi alama za nyakati bwana..kubadilika ni mojawapo ya kukua kimaendeleo..tatizo binadamu wengi tunaogopa mabadiliko..
 
sasa hiv wakati ninachati kuhusu hili swala kunakitu kimetokea ambacho ni mfano wa kutosha.Nilitoka nje ya nyumba nikiwa nimevaa Tshirt ya kijani isiyo na nembo yoyote nikakutana na binam yangu akantania kwa kuniuliza 'nimevaa tisheti ya ccm!'
 
Mimi kama mwanayanga nashauiri tuanze kuvaa nyekundu kwa mechi za ugenini na nyeusi nyumbani! Tusione haya jamani rangi nyekundu inaashiria ushindi wenzetu uingereza almost kila timu inavaa nyekundu man utd, liverpool, arsenal,sunderland, man city kwanini sisi yanga tushindwe? Nafikiri tukiamia nyekundu italeta changamoto zaidi kwa wapinzani wetu
 
Simba walibadili jina na juzi kati wakabadili logo yao,imekuwa ya kisasa zaidi.Sisi kila kitu kilekile hata logo original imekaa kizamani.eti kuna sijui dada anaruka kamba,wcheza box ,netball na vidudedude hiyo ndo logo yenyewe ukikuta nyingine jua feki...YANgA hata ikibadili jina, rangi wachezaji, itabaki kuwa kitu kilelekile na mashabiki walewale,wenyeakili mgando, msiogope
 
Hii dhana ya ajabu sana! Kwamba kama kuna kitu au timu au chama hukipendi/hakipendwi na kinatumia rangi fulani basi wengine wasitumie rangi hizo! Ajabu ajabu. Nikuulize mkuu precision nao wabadilishe? Au Yanga tu?

naunga mkono yanga wabadili rangi mkuu. na ule ushangiliaji wa ccm,ccm siupendi kabisaa!
 
ninafurahi kuona watanzania wenye mawazo chanya kama haya, ila tatizo..kuna watu humu wanaandika upunguani tu..bila kufikiri umuhimu wa mada.I wish ningekuwa moderator..ningekuwa ninapost comments zenye akili tu..ujinga ujinga hakuna..tutoe mawazo yetu kwa hali ya kujengani na si kukurupuka..Rangi ya Yanga INABOA..ni vyema kubadilishwa isiendane na chama..nyie hamsomi alama za nyakati bwana..kubadilika ni mojawapo ya kukua kimaendeleo..tatizo binadamu wengi tunaogopa mabadiliko..

kila mahali siasa! watu wamelewa siasa. Kila chama kina rangi yake, bluu na nyeupe ilishachukuliwa na Azam, mwe!
 
Mimi kama mwanayanga nashauiri tuanze kuvaa nyekundu kwa mechi za ugenini na nyeusi nyumbani! Tusione haya jamani rangi nyekundu inaashiria ushindi wenzetu uingereza almost kila timu inavaa nyekundu man utd, liverpool, arsenal,sunderland, man city kwanini sisi yanga tushindwe? Nafikiri tukiamia nyekundu italeta changamoto zaidi kwa wapinzani wetu

Duuuuu! Teh teh teh! RED, hapo umevuka mpaka,nature ya hizi timu hairuhusu kitu kama hicho,ingawa pia si kila timu za ulaya inatumia red,na si kila wanachofanya na sie tufanye.Si kweli kwamba njano na kijani mbaya,but kwa mazingira ya kwetu haina mvuto
 
kila mahali siasa! watu wamelewa siasa. Kila chama kina rangi yake, bluu na nyeupe ilishachukuliwa na Azam, mwe!

SIASA INA APLY EVRYWHERE,siasa inasema mtanzania ana uhuru wa kujieleza atakavyo ,ndo mana jf ikawepo,vinginevyo ingekuwa kinyume chake jf isingekuwepo,au ingekuwa kuanzish uz mpaka uptie serikali za mitaa....anyaway mm nimependekeza blue na njano na sio blue na nyeupe
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom