yanga acheni utoto.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
mi nadhani sasa umefikia wakati,TFF wakatae kuburuzwa na hivi virabu viwili(simba na yanga)ndio vinavyodumaza mpira wa nchi hii.Haiingii akilini eti alama nyekundu ya nembo ya mdhamini(vodacom) iwe sababu ya kukataa kutumia jezi hizo,kukataa zawadi na kombe iwapo watafanikiwa kuwa mabingwa!eti ni kinyume na katiba yao!hadi karne hii bado mpira unaendeshwa kwa imani!mi nashauri na ninajua vodacom hawawezi kubadilisha logo yao.kwa staili hii hata muwalete ferguson,mourinho,gadiola na Avb,wafundishe timu ya taifa hakuna kitu.
 
Kwanza jezi za Yanga za sasa zimekaa ki CCM zaidi. Nimetafakari nikaamua kuicha Yanga, pamoja na kwamba nilikuwa naipenda sana. Yanga leaders, badilisheni jezi la sivyo mtazidi kupoteza mashabiki.
 
Kwanza jezi za Yanga za sasa zimekaa ki CCM zaidi. Nimetafakari nikaamua kuicha Yanga, pamoja na kwamba nilikuwa naipenda sana. Yanga leaders, badilisheni jezi la sivyo mtazidi kupoteza mashabiki.
<br />
<br />
bora mi cjawah kuipenda hii timu ya magamba,lol..
 
Back
Top Bottom