Yanga 2,toto africa 3

Kwani imekuwaje umeileta huku. Ungepeleka kule sports tena kuna Yanga &
Simba special threads. Usirudie tena kuleta mambo ambayo hatutaki kuyaona
umeshaniharibia wikiendi yangu njema..... umesikia we kibela?
 
Kibera kufa kufaana ati we washinda airtel wenzio twashinda vodacom kibeeeeeeeeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sema raaaaaaaaaaavuuuuuuuuuuuuuuuuuu nitumiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeee basiiiiiiiiii nireeeeeeee baya aiseeeeeeeeee
 
wacha tuwaachie madogo wasishushwe daraja . kama na wao walivyotupa ubingwa mwaka jana .
 
Back
Top Bottom