Yanga 0-----apr 1

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Mpaka Sasa Timu Ya Apr Ya Rwanda Inaongoza Kombe La Kagame Poleni Ndugu Zanguni Tujipe Moya Kama Yaliyotukuta Jana Tutatoka Tu
!!!!!!!!
 
Mambo Yamegeuka Jamani Huyo 1-0 Sasa Ni 2--1
 
Change hiyo title iwe KAGAME CUP then tuwe tunasoma yaliyojiri kutoka katika michezo hiyo.
 
hivi jamani jana mchezo wa yanga/apr mmeona refa toka kenya alivyotuuma?magoli yote ya apr deadballs tena za kutafutiwa na refa,yellow card dhidi ya yanga kibao.TFF mko wapi,mashindano yapo Tanzania inakuwaje tunakuwa treated na waamuzi kama vile tunacheza away game?si Tenga ndo rais wa cecafa?au ndani ya TFF kuna watu wana njama Yanga asisonge mbele?too bad!
 
Back
Top Bottom