yanayowakuta wana CUF

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
CHAMA CHA CUF, walijisahau sana baada ya kufanya ndoa ya mkeka kwa serikali huko zanzibari ,lakini huwezi kufanya urafiki na nyau paka shume ujue iposiku atakurarua tu ,waliwacheka chadema wenzao wanatumia akili sana na kutakuli kila jambo kwa undani lakini nyie mwaenda tu,leo mnatak kumtoa huyo bwana harusi na makaratasi mlishamwaga wino subilini hadi uchaguzi ujao ndipo sharif self atoke ?????????????mh poleni
 
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Maalim aliwasaliti wana CUF kutaka ukuu. Ulaaniwe seif sharif hamad!!!
 
Back
Top Bottom