Yanayotokea sasa tanzania mtazamo wangu

pepekale

Member
Nov 25, 2010
60
50
Nadhan nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana, ukianzia kubadili mfumo mzima wa uongozi(SIYO UTAWALA coz hakuna Mtawala bora huku duniani), Pia kudhibiti nguvu za vyama vya siasa na ikiwezekana vingine vifutwe kwa maslah ya nchi, na ikiwezekana viongoz wengi inabidi wafutwe kazi wakapumzike, nchi ina watu wengi wenye damu changa na akili bado zinafanya kazi vizuri, bUt cha kushangaza asilimia kubwa ya watawala ni wastaafu ambao kiutaratibu inajulikana kuwa tayari wameanza kuchoka, tena wengi wao wanajeshi ambao kwao amri ni utaratibu wa maisha pasipo kufikiri nini madhara ya amri zao kwa maedeleo ya taifa, sasa matokeo yake ndo vile, hakuna ubunifu katika kuboresha mambo mbalimbali ya kimaendeleo, watu wamekuwa maaarufu kwa kusinzia kwenye vikao vingi ambavyo vina faida kwa mwananchi maskini, hawa wote wanastahili kupumzika wapishe watu wenye damu changa waokoe jahazi .​
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom