Yanayotokea Gambia yamenifanya nikumbuke Tuzo ya Jecha kwa kurudia uchaguzi Zanzibar

Demokrasia ya Afrika ni chama tawala kushinda kwa namna yoyote.Wapo madarakani kulinda maslahi yao na waliowatangulia.Kwani wanafanya kila wamalizapo muda wanaweka watu wao.
 
Ooohh Trump kwa nini unachelewa kuapishwa,Hawa ni wa kukamatwa na kupigwa tu,haiwezekani mtu mmoja kwa interest zako uje usababishe mauwaji ya halaiki,ilitakiwa watu waanze na huyu Uchwara
 
i am sorry to say, wazungu ni wajasiri sana unawaoona wanaoa au kuolewa na kuzaa na black african hasa walioko bara la africa, i am sure kuna wazungu wenzao hawaafiki hii kitu kabisa...
 
1481339635111-jpg.444515

Aliyekuwa Rais wa Gambia Yahya Jammeh amekataa kishindwa uchaguzi aliokuwa amekubali kushindwa.

Amesema hawezi kukubali kushindwa uchaguzi usio kuwa Huru na haki.

Amesema ataitisha uchaguzi mwingine karibuni .

"Uchaguzi lazima uludiwe siwezi kukubari kushindwa Mimi bado ni rais nitaitisha uchaguzi mwingine karibuni"

My take : kiukweli hawa watu ndio wanatakiwa kushugulikiwa. Ulevi wa madaraka na ufisadi wanaofanya ndio kitu pekee kinachowafanya wanganganie madaraka..

Amenifanya nimkumbuke lipumba alivyokimbia CUF kwa kusema amejiuzulu alafu akarudi.

Anenifanya nimkumbuke Jecha baada ya kufuta uchaguzi Zanzibar na kuitisha uchaguzi mwingine ..

Africa Tuna safari ndefu sana brain Mental revolution bado inaendelea kwa mtu mweusi.
Nashauri kuwa akitoka kiongozi akangangania madaraka ni kutafuta ziliko investment zake zote wakiwepo mke na watoto na kizichoma zote. Baada ya hapo unawatafuta wajomba, ndugu zake na wapambe unawatokomeza wote ili kukiondoa kile kizazi cha tamaa!
 
Huyu jamaa amenishangaza sana...kama AU ingekua ina maana ilitakiwa aondolewe kwa Nguvu na Rais mpya aapishwe mtu hawezi kungangania madaraka wakati watu hawamtaki...Ajabu AU ni imejaa uhuni na usanii haina kitu...
U is a toothless dog that cannot bite kwa hivyo kuitegemea ni kama kupiga ramli.
 
Eh Mungu wetu mtukufu tunakulilia utusaidiae kwa kuwahadabisha viongozi wa aina hii, Eh Mola wetu mtukufu pitisha pigo lako kubwa na kabambe kwa watu hawa wanaowadharau maamuzi wananchi wao kwani uliisha sema sauti ya wengi ni sauti yako, haiwezekani mtu mmoja akayapuuza maoni ya Wengi.

Na hata hapa kwetu Tanzania pia afrika ya mashariki Mola washugulikie hawa watu wanaotuzuia tusiwe na Tume huru za uchaguzi ktk eneo hili, ili Demokrasia yani Mawazo yetu yaweze kusikika na haki pia sauti zetu ziweze kudhihiri...
Yalotokea Zanzibar (Jecha), Burundi (Nkurunziza), Uganda (Mu7) hii combination ya (MSN), Rwanda (Kagame) na aloyafanya jaji through NEC hapa TZ lazima yalaaniwe kwa kishindo kikuu..

Aamin La bilharamini.
Wanao dharau sauti ya Mungu hakika kitakacho wafika ni aibu tupu
 
huyu ameenda mbali zaidi, yaani Anakofia Mbili.

1 kuwa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.

2 kuwa mgombea wa nafasi ya Urais.

3 kuwa Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Gambia.

Haaaaaaaaaaaaaaaa. Africaaaaaaaaaaaa Kuna maajubu ya Dunia kabisaaaaaaaaaaaaaa.

Hapa hata Trump Akitutukana basi Atuna budi kumuunga Mkono maana ndivyotulivyo.
 
Huyu jamaa amenishangaza sana...kama AU ingekua ina maana ilitakiwa aondolewe kwa Nguvu na Rais mpya aapishwe mtu hawezi kungangania madaraka wakati watu hawamtaki...Ajabu AU ni imejaa uhuni na usanii haina kitu...
SWALI:
panya Anaweza kumfunga panya mwenzake mikono asipure Unga?
 
Rais wa Gambia amefuta matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi mpinzani wake, na yeye rais Jammeh alikubali kushindwa. Baada ya wiki moja wakiwa kwenye mandalizi ya kumwapisha rais mpya, Yahya Jammeh amekataa matokeo hayo na kusema ataitisha uchaguzi mwingine.

Mataifa mengi yanaiga yanayofanyika Tanzania ya kufuta matokeo.
Sijui Kama huko Gambia kutatulia iama hapa kwetu, maana wameiga bila kujua madhara yatakayotokea.

Bara la Africa linahitaji elimu zaidi
KWENYE HILI HUTAWASIKIA WAKUU WA NCHI HII WASEME LOLOTE!!!
 
Aliyekuwa Rais wa Gambia Yahya Jammeh amekataa kishindwa uchaguzi aliokuwa amekubali kushindwa.

Amesema hawezi kukubali kushindwa uchaguzi usio kuwa Huru na haki.

Amesema ataitisha uchaguzi mwingine karibuni .

"Uchaguzi lazima uludiwe siwezi kukubari kushindwa Mimi bado ni rais nitaitisha uchaguzi mwingine karibuni"

My take : kiukweli hawa watu ndio wanatakiwa kushugulikiwa. Ulevi wa madaraka na ufisadi wanaofanya ndio kitu pekee kinachowafanya wanganganie madaraka..

Amenifanya nimkumbuke lipumba alivyokimbia CUF kwa kusema amejiuzulu alafu akarudi.

Anenifanya nimkumbuke Jecha baada ya kufuta uchaguzi Zanzibar na kuitisha uchaguzi mwingine ..

Africa Tuna safari ndefu sana brain Mental revolution bado inaendelea kwa mtu mweusi.
Kwanza nilishikwa na butwaa na kumuona kidume kukubali kushindwa. Inaweza kuwa alikuwa na zamira ya kweli,baada ya kutafakari, akaogopa kuwa anaweza kulipiziwa visasi na kuzalilishwa. Dalili zilikuwa zinaonyesha, kuwachiwa kwa wafungwa wa kisiasa haraka, watu pamoja na mahasimu wake kuongea kwa lugha za jazba za kutaka haki itendeke. Nafikiri nchi nyingi za kiafrica kutokana historia zake zinahitaji "reconciliation" kama ile wliofanya South Africa na Tunisia. Hii hata hapa kwetu, hasa kwa upande wa Zanzibar inahitajika. Bila mipango kama hiyo haya matatizo kwenye chaguzi zetu Africa, pamoja na vita yatakuwa yanaendelea bila suluhu.
 
Huyu jamaa amenishangaza sana...kama AU ingekua ina maana ilitakiwa aondolewe kwa Nguvu na Rais mpya aapishwe mtu hawezi kungangania madaraka wakati watu hawamtaki...Ajabu AU ni imejaa uhuni na usanii haina kitu...
porojo zako zooote, avatar yako umeweka picha ya gadaf.
 
Rais wa Gambia amefuta matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi mpinzani wake, na yeye rais Jammeh alikubali kushindwa. Baada ya wiki moja wakiwa kwenye mandalizi ya kumwapisha rais mpya, Yahya Jammeh amekataa matokeo hayo na kusema ataitisha uchaguzi mwingine.

Mataifa mengi yanaiga yanayofanyika Tanzania ya kufuta matokeo.
Sijui Kama huko Gambia kutatulia iama hapa kwetu, maana wameiga bila kujua madhara yatakayotokea.

Bara la Africa linahitaji elimu zaidi
Kuna wakati HayatiJohn Garang alisema bunduki inasaidia kuweka mambo sawa.
 
Yeye sio ndio alipiga simu ya kupongeza? Alikuwa anatabasam kinafiki
 
1481339635111-jpg.444515

Aliyekuwa Rais wa Gambia Yahya Jammeh amekataa kishindwa uchaguzi aliokuwa amekubali kushindwa.

Amesema hawezi kukubali kushindwa uchaguzi usio kuwa Huru na haki.

Amesema ataitisha uchaguzi mwingine karibuni .

"Uchaguzi lazima uludiwe siwezi kukubari kushindwa Mimi bado ni rais nitaitisha uchaguzi mwingine karibuni"

My take : kiukweli hawa watu ndio wanatakiwa kushugulikiwa. Ulevi wa madaraka na ufisadi wanaofanya ndio kitu pekee kinachowafanya wanganganie madaraka..

Amenifanya nimkumbuke lipumba alivyokimbia CUF kwa kusema amejiuzulu alafu akarudi.

Anenifanya nimkumbuke Jecha baada ya kufuta uchaguzi Zanzibar na kuitisha uchaguzi mwingine ..

Africa Tuna safari ndefu sana brain Mental revolution bado inaendelea kwa mtu mweusi.
Ndiyo sababu nikakosa uvumilivu na kuzamia South kwenye nchi ya Wazungu walioko barani Africa
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom