Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

PJ,

Kuna wengine wanaweza kuwa bado wanasumbuliwa na memories za mahusiano yao ya nyuma. Kwa hiyo siyo lazima kuwa kwa sababu wamejifungia chumbani (24 hrs) basi wako pamoja kwa kila kitu (body, mind and spirit). Kuna wengine wataona kama wako jela kwani hawawezi kuwasiliana na wale extras wao! Mambo siyo rahisi namna hiyo.

nail it pal!:D:D

Hiyo geoff tunaitaje....what is here to stay? LOL:D
 
Correction Noname hapo juu: Even those who cant afford need a holiday there are no exceptions. Yani you want to tell us that married couple/just got married couple who are broke kifedha do not need a holiday???? Ni kuishiwa tu hela but that doesnt mean kwamba they dont want to have a holiday even once in a year.

sawa but I what i meant to say if the couple cant afford it then its not compulsory... yes u r right everybody need a holiday...
 
Najiuliza swali hili!

Kuna couples zingine hukaa honeymoon kwa wiki 1 hadi 2!

Na katika kipindi hicho nimeshuhudia watu, hadi wachungaji/mapadri wakikataza mtu yeyote kwenda kuatembelea couple husika, kwa hofu ya kuwasumbua!

Ni mambo gani hasa yafanyike na kuongelewa kule honeymoon, ukiachilia mbali kuonyeshana upendo kwa ukaribu??...two weeks!! mmmh!!

Kimsingi, nadhni kuna mambo makuu kadha ambayo mnatakiwa myajadili mkiwa huko. Lakini hii itategemea sana kama mlijuana kwa kipindi gani nyuma, kabla ya kuoana!..

Lakini je, hujawahi kusikia ndoa zinazovunjikia kwenye vyumba vya honeymoon?..Je unadhani couple hizi huwa wamesemezana nini hadi kuchukua maamuzi hayo?

Kuna jamaangu alinambia, namnukuu.."tukiwa honeymoon ndo nitamfahamisha rasmi kwamba nina mtoto wa nje"..!
Mwingine akasema.."wakati huo(honeymoon) ndo nitamjulisha kuhusu madeni niliyokopa ili kufanikisha kumuoa"..huh!

Je huenda mambo hayo ndo moja ya yale muhimu ya kusemezana wakati huu muhimu?...michango yenu tafadhali!

Kwani uncle PJ wewe umeoa?? na kama umeoa hukwenda honeymoon??? na kama ulienda honeymoon ulikuwa unafanya nini huko yani mlifanya mipango na mke au ndo mlikuwa mwala raha na kupumzika mipango ikaja baadaye?? na kama hukwenda kwa nini hukwenda??
Na kama hujaoa ukioa utaenda honeymoon after all these discussions on the board au ndo utabadilisha mawazo kabisa???
 
bado sijaolewa but pia nimeskia kwa waliioolewa na kuowa kwamba huo ndio wakati mzuri wakutafuta watoto maana wanakuwa akili zimetulia pia,pia ndio wakati wa kupanda maisha yao mapya na hasa kuenjoi tendo takatifu maana mwanzo walikuwa wanajiiba tu,mtazamo wangu tu.

taarifa hii, imekuja wakati muafaka! senksi sana na nimeinote kwa wino mzito.
 
Opportunities never come twice! :)
icon10.gif
 
The need is there to make sure that, mtoto anazaliwa ndani ya ndoa....!!! Its like wanahalalisha hiyo mimba! Should I say more? :)

if there is more to say please do!!!!!!!!!!! kama sijaridhika na hili jibu vile
 
Tatizo lako wewe utataka ni-prove beyond reasonable dought...........!!! :) Naweza, ila kwa sasa njaa inauma, mpaka nishibe kwanza!

hahaaaaaa sio hivo tu
hata kwa ma-balance sheet mi poa tu nipo vizuri
nakusubiri hapa......
 
Kwani uncle PJ wewe umeoa?? na kama umeoa hukwenda honeymoon??? na kama ulienda honeymoon ulikuwa unafanya nini huko yani mlifanya mipango na mke au ndo mlikuwa mwala raha na kupumzika mipango ikaja baadaye?? na kama hukwenda kwa nini hukwenda??
Na kama hujaoa ukioa utaenda honeymoon after all these discussions on the board au ndo utabadilisha mawazo kabisa???
JS,
Nasikitika/nafurahia kukufahamisha kwamba nilishaoa muda mrefu!

Lakini, napenda ujue kwamba EXPERIENCE kila mara ni kitu cha kugawana!

Nilivyofanya mimi si alivyofanya Geoff-tofauti!
Kwa kuwa mkweli kabisa, mi sikwenda mahali special kwajili ya h/moon, bali nilinyoosha goti straight kwenda nilipokuwa naishi, nikiwa na Chausiku wangu(sababu ni kwamba hapo mahali nlpokuwa naishi palikuwa pametulia tu kama Ngurdoto) !

Tuliongea na mke wangu yale tuliyoweza katika siku zile mpya, tukapanga ya kupanga, then maisha yakaendelea hadi leo!

Lakini nadhani kwa discussion hii, kuna watu kibao wamejifunza somo hapa au sio?
 
mmh ila biggie kweli penye wengi kuna mengi

haya mambo jamani.......ngoja kwanza niendeleee kusoma posts
 
Vp tena BHT?

Umeachwa hoi na nini?

Usiogope, mimi nimespecialize kwenye USHAURI WA BURE, so tuko pamoja..hajambo BUJIBUJI?
 
nimejifunza meeeeeengi,mda ukifika ni kufanya kama walivyoshauri usijali,nikimpata tu wa kufika nae kanisani atawasimulia
JS,
Nasikitika/nafurahia kukufahamisha kwamba nilishaoa muda mrefu!

Lakini, napenda ujue kwamba EXPERIENCE kila mara ni kitu cha kugawana!

Nilivyofanya mimi si alivyofanya Geoff-tofauti!
Kwa kuwa mkweli kabisa, mi sikwenda mahali special kwajili ya h/moon, bali nilinyoosha goti straight kwenda nilipokuwa naishi, nikiwa na Chausiku wangu(sababu ni kwamba hapo mahali nlpokuwa naishi palikuwa pametulia tu kama Ngurdoto) !

Tuliongea na mke wangu yale tuliyoweza katika siku zile mpya, tukapanga ya kupanga, then maisha yakaendelea hadi leo!

Lakini nadhani kwa discussion hii, kuna watu kibao wamejifunza somo hapa au sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom