Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,197
Sitaweza sema walionjana au la lakini kama walishado kabla ya ndoa kilichopelekea kila mtu kurudi kivyake ni nini na kama walikuwa bado kuonjana ndio kabisa we will never know what went wrong.Ndo hapo binamu kitu kipo chini ya kapeti lakini mabinti wa siku hizi si mnaonjwa kwanza kabla ya harusi au?