Yaliyojiri Tuzo za EATV kutoka Dar es Salaam

Ptuuuu tuzo za ki#@* wangesema za Watanzania maana Wakenya, Waganda na other E. A nationals wako kidogo sanaaaaaa. Af how can u put Mashauzi Classic sijui na Sauti Soul under one category?????

Hizo tuzo zenu huko Kenya sijui huwa mnaweka wasanii wote wa tz au mnachagua baadhi ?
Ni haki maana sauti sol hawaeleweki wanaimba kwaya au nini
 
Nakupata MUBASHARA kutoka 'jiji mlima' kwenye sherehe ya tuzo za televisheni ya afrika ya mashariki 2016

Endelea kutuambia kila tukio linalojiri
 
Haiya haiya leo ndo leo , asiye na mwana abebe jiwe , zile tuzo za kwanza na za aina yake , zinazopenya bila promo kama Muziki ya darasa zinazofanyiwa figisu na wale jamaa kwa nao kulazimisha kuweka show mav.i leo huku wakiwatishia baadhi ya wasanii mamburura kususia show ya tuzo hizo, inafanyika katika ukumbi wa kimataifa hapa Mlimani city .Burudani mbalimbali zitaporomoshwa .Karibuni team wastaarabu wote wenye roho nyeupeeee kupata burudani nzuri na kuwaunga mkono watu wetu....

Wasanii watakao wania tuzo ni hawa wafuatao..

MWANAMUZIKI CHUPUKIZI.

Amani Hamisi (Man Fongo) - Hainaga Ushemeji
Feza Kessy - Sanuka
Rukia Jumbe (Rucky Baby) - Give me some more
Mayunga Nalimi (Mayunga) - Nice Couple
Rashid Said (Bright) - Nitunzie

MUIGIZAJI BORA WA KIUME
Meya Shabani Hamisi
Salim Ahmed (Gabo)
Daudi Michael (Duma)
Dotto Hussein Matotola
Saidi Mkukila

MUIGIZAJI BORA WA KIKE
Chuchu Hansy
Rachel Bithulo
Frida Kajala Masanja
Khadija Ally

FILAMU BORA YA MWAKA
Facebook Profile
Safari ya Gwalu
Mfadhili Wangu
Hii ni Laana
Nimekosea Wapi

KUNDI BORA LA MWAKA
Navy Kenzo
Mashauzi Classic
Team Mistari (Kenya)
Sauti Sol (Kenya)
Wakali Wao

VIDEO BORA YA MWAKA
Namjua - Shetta
Njogereza - Navio
Aje - Ali Kiba
Don't Bother - Joh Makini
NdiNdiNdi - Lady Jay Dee

MWANAMUZIKI BORA WA KIUME
Gnako
Shetta
Mwana FA
Ben Pol
Alikiba

MWANAMUZIKI BORA WA KIKE
Lilian Mbabazi (Uganda)
Ruby
Lady Jay Dee
Linah
Vanessa Mdee

WIMBO BORA WA MWAKA
Don't Bother - Joh Makini
NdiNdiNdi - Lady JayDee
Kamatia Chini - Navy Kenzo
Aje - Alikiba
Moyo Mashine - Ben Pol



Nimeshindwa weka picha atakayeweza kuweka picha aweke na mods watasaidia kuzipandisha

Show inaonyeshwa live channel 5 a.k.a eatv saivi red carpet na watu mbali mmbali wanaendelea kuingi ukumbini
Aje Aje everywhere leo watu watanuna vibaya mno
 
1481395250674.jpg

1481395263414.jpg

1481395284514.jpg

1481395293224.jpg

1481395310294.jpg

1481395321954.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom