Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,202
- 42,061
Tatizo la wafuasi wa chadema ni kupaniki kila dakika hata bila kutafakari. Uzi unahusu yanayojiri katika mitaa ya jiji la Dar na vitongoji vyake na sio mahudhurio ya mkutano tayari mshatokwa na povu na bado sasa hivi saa tano kasoro bado bilabila. Cha kufanya wewe tupia hapa kinachojiri kitaa chako
acha kuwa na kichwa kigumu,yani hujui kama habari inaweza kuwa na vichwa tofauti na kuwa na maudhui yaleyale? unanishangaza sana sijui kama shule yako inakusaidia! yan kusoma hujui,hata picha huoni. nahisi hata thread ya kwanza haukuisoma kwa sababu ya tatizo la kutojua kusoma.