Yanayojiri mitaa ya Jiji la Dar na vitongoji vyake kuelekea mkutano wa chadema Jangwani leo

Labda Mtaani Kwenu,sisi Kwetu Huku Ubungo Kila M2 Yupo Bize Anafanya Kazi Amalize Mapema Ili Aelekee Jangwan
 
Tatizo la wafuasi wa chadema ni kupaniki kila dakika hata bila kutafakari. Uzi unahusu yanayojiri katika mitaa ya jiji la Dar na vitongoji vyake na sio mahudhurio ya mkutano tayari mshatokwa na povu na bado sasa hivi saa tano kasoro bado bilabila. Cha kufanya wewe tupia hapa kinachojiri kitaa chako

Kupaniki maana yake? acha uchuro kijana mrembo utakosa bure posa
 
Tatizo la wafuasi wa chadema ni kupaniki kila dakika hata bila kutafakari. Uzi unahusu yanayojiri katika mitaa ya jiji la Dar na vitongoji vyake na sio mahudhurio ya mkutano tayari mshatokwa na povu na bado sasa hivi saa tano kasoro bado bilabila. Cha kufanya wewe tupia hapa kinachojiri kitaa chako

Hiki ndicho ulichokiandika hapo juu? Najua ccm mnavyoumia, si ajabu kukuona unaandika hivi, hii inatokea by default na acha tu itokee kwa kweli.
 
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela

Mod toeni huu Uzi Kama mlivyoutoa ule aliouanzisha mwanzo,mtu kama huyu anatutafutia ban
 
Tatizo la wafuasi wa chadema ni kupaniki kila dakika hata bila kutafakari. Uzi unahusu yanayojiri katika mitaa ya jiji la Dar na vitongoji vyake na sio mahudhurio ya mkutano tayari mshatokwa na povu na bado sasa hivi saa tano kasoro bado bilabila. Cha kufanya wewe tupia hapa kinachojiri kitaa chako

Mda bado,tunatafuta nauli saa 8:30 itatukutia pale,usihofu.
 
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela

Mtu mpuuzi utamjua kwa hoja zake
 
Acha kuweweseka, tupo wengi tunasubiri muda ufike tuende pale.... Hatungoji kufatwa na magari ili kwenda pale kama ilivyo kawaida yenu!!

okey umenikumbusha waliokuwa wanafuatwa udsm kwenda Diamond kwa JK, magamba wamezoea kufuatwa,
MIMI NASUBILI MDA TUU SIPO MBALI NA JANGWANI!
 
Mi'mwenyewe niko busy na shughuli zangu kama kichaa maana najua saa 10 naitaji utulivu mkubwa nikichek ITV Mkutano unavyo endelea, hongeren mlioko ktk ujenz wa taifa sasa hv, kila k2 kina mda wake. M4C 4EVER
 
amezoea kile chama chao muda huu tayari maroli yamepaki kuwasubiri kuwapakia kwenda kwenye mkutano....hahaa ccm bana yaani roho inawauma kweli leo..yaani wanatama igp asema sababu za kiintelijensia zinaonyesha al shabab watashambulia mkutano so mkutano ufutwee.... Hahaaaaa poleni ccm vumilieni mtazoea tu hali hii

hili ndio jibu sahihi kabisa maana magamba muda huu wangekua busy kutafuta coaster na fuso na kugawa uniform
 
Hali sio nzuri sana,

Sioni mwamko wa watu kabisa hapa jijini,

Wengi ya watu ninaowauliza hawana taarifa ya huu mkutano na wengine wamechoshwa na tabia ya hiki chama.

Tutawajulisha wadau

Stay turned.
 
Niko hapa jangwani kuna vijana wengi tu na skafu za cdm na tayari kwa mbaali naona uwanja wa jangwani unavutia sasa wewe huu upuuzi sijui umeutoa wapi
 
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela
Kwani siku ya mkutano ndio tangia mswaki shughuli zingine zisifanyike? Mkutano ni saa ngapi?
Watu wakiwa kwenye shughuli zao si rahisi kujua kwamba wanaenda kwenye mkutano au la, wewe unatumia utafiti gani?
Mimi niko kazini, tena saa 6 tuna kikao cha kiofisi lakini hapa tuko wanne tunaojijua tunaelekea jangwani baadaye, sasa ukipita hapa utasemaje? Si utaishia kila mtu yuko busy hana habari na jangwani?
 
Habari wakuu, niko tayari kuelekea jangwani leo jumamosi je wewe? Kijana wa dar badilika acha kutumika na magamba
 
Back
Top Bottom