Yanayojiri kwenye usail wa sensa

Mapujds

JF-Expert Member
May 12, 2011
1,286
127
Ndugu wana jf naomba kwa yeyote aliyeripoti kwenye kata kwa ajili ya usaili wa kazi za ukarani wa sensa mtujuze nini kinaendelea.vigezo gani wanataka na maswali wanayouliza.huku mikoani bado kimya.
 
Yaani unataka kulikisha mtihani??
 
Wanachek vyeti tu,af wanakuuliza jina lako,umesoma wap o level,hapa n kata ya makuburi sijui sehem zengine nivipi
 
Migi kawaida, ila usikamatwe............. So kulikisha mtihani si mbaya. mpeni msaada.
 
Nashukuru wakubwa nimepata mwanga japo huku dodoma majina hayajatoka mpaka sasa
 
kikubwa,nenda na vyeti original kama ulivyo ambatanisha vivuli vyake,kumbuka majina yako matatu,namba yako ya simu na mtaa/kitongoji unachokaa basi hakuna swali lingine lolote(uzoefu wa kata ya kawe sijui kwingineko)
 
Ndugu wana jf naomba kwa yeyote aliyeripoti kwenye kata kwa ajili ya usaili wa kazi za ukarani wa sensa mtujuze nini kinaendelea.vigezo gani wanataka na maswali wanayouliza.huku mikoani bado kimya.
Makarani wengi wa kiislam wamesusia usaili
 
Migi kawaida, ila usikamatwe............. So kulikisha mtihani si mbaya. mpeni msaada.

Nyie wa migi ndio mnafeli mitihani ya profesheno bodiz kama nbaa na kadhalika.
Rejea hapa:
https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/284688-nbaa-result-for-may-2012-are-out.html

kikubwa,nenda na vyeti original kama ulivyo ambatanisha vivuli vyake,kumbuka majina yako matatu,namba yako ya simu na mtaa/kitongoji unachokaa basi hakuna swali lingine lolote(uzoefu wa kata ya kawe sijui kwingineko)

Kata ya makumbusho pia ilikuwa hivyo hivyo. Tayar nshathibitisha vyeti vyangu, nasubiri kupigiwa simu.
 
watu wa mkoani msijali mazee kwani hakuna ishu kwenye usail wanaangalia vyeti vyako tu na unaandika jina kwenye karatasi iliyoandaliwa na wanakuuliza ulisoma wapi na ulimaliza mwaka gani bac.
 
jamani wana jf naomba mnijuze kitu kimoja eti nimesikia majina yaliyobandikwa leo kwenye kata
kwa ajili ya usaili eti yatachakachuliwa tena nakutolewa mengine baada ya ck tatu wakati kuna watu waliokuja wakakosa majina yao kwanini wafanye kazi mara mbilimbili inamaana mtu kafika kaona jina lake then akafanya usail anarudi tena anakuta jina lake halipo mabo gani haya jamani naomba mnijuze the sectrate behind.
 
Mwenye taarifa kuhusu kata ya mbagala kuu kama washabandika majina a2juze

Si uende kata ukaulize?Au hauishi huko umeombea tu njia? Well,wanabandika kesho,na wamesema watu mia nne wamechaguliwa ila kati ya hao mia tatu ni walimu.
 
jamani wana jf naomba mnijuze kitu kimoja eti nimesikia majina yaliyobandikwa leo kwenye kata
kwa ajili ya usaili eti yatachakachuliwa tena nakutolewa mengine baada ya ck tatu wakati kuna watu waliokuja wakakosa majina yao kwanini wafanye kazi mara mbilimbili inamaana mtu kafika kaona jina lake then akafanya usail anarudi tena anakuta jina lake halipo mabo gani haya jamani naomba mnijuze the sectrate behind.

kata ya kawe walikuwa leo wanatangaza marambili2, kwamba kama hujaona jina lako usiondoke leta vyeti original then unajaza kata uliotoka, so kwa huku it doesnt mata jina lipo or halipo.
 
Back
Top Bottom