Elections 2010 Yanayojiri kwenye kampeni za CCM Mwanza

Anadai kwa masharti waliyompa aliona hawataweza kulipa. Leo mbaya mie wazuri wao . . . akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Wafanyakazi tunawahjali na kuwathamini na kura zao tunazihitaji lakini si kwa masharti.

Mgaya upo?
 
Anadai kuna wana CCM na wapenzi watawapa kura. Na hata wafanyakazi.

Sasa anaomba kura za Rais, wabunge na madiwani.

Anadai Masha kashinda bila kupingwa. Inaonekana pingamizi aliloweka limekubaliwa
 
Dialo anatambulishwa na kuombewa kura . . . (huyu ndo Mmliki wa Star TV)
 
Masha anapanda sasa . . . . CCM Oyeee . . . Mwanza Saafi. Wazeee Shikamooni, Vijana Mamboooo
 
Naona sauti ya Masha inatetemeka, sijui kama ni PA au ni nini.

Anawashukuru kwa kumpitisha na sasa anaomba kura
 
Wakulu JK yuko Jukwaani akiongea toka 5.50 PM.

Kaelezea mafanikio katika barabara, elimu na vivuko . . .

Anaendelea . . .

Umati wa watu ni mkubwa kiasi.

Pamoja naye namwona Msekwa na Bilali.

Nyuma yuko mpambe wake mwenye uniform. Ila kuna body guard wa ziada leo kasimama nyuma yake. Kavaa kaunda suiti long sleev . . .

Amesema lolote kuhusu utata wa afya yake/kutuomba radhi alivyodondoka jana hadharani?
 
Anaondoka Jukwaani baada ya kutoa ahadi ya ziada ambayo haipo katika Ilani . . . nadhani ni barabara
 
Back
Top Bottom