Yanayojiri kesi ya Lissu leo-Lissu ambana shahidi

Wanampotezea tu mda kamanda asi concetrate na issue za maana katika jamii, hawana lolote hao
 
Lazima CCM tufidie kiti cha Arumeru kwa kiti Singida au DSM au Arusha

...ndiyohiyo

Ndio maana c.c.m inazidi kupoteza wafuasi siku baada ya siku,kama wana c.c.m wenyewe ndio wenye akili kama zako kwa karne ya sasa,basi muda si mrefu c.c.m watakua wapinzani!Tanzania ya leo watu wenye mawazo na akili kama zako wanapungua sana siku hizi,watanzania wengi siku hizi wanakua waelewa sana!
 
Back
Top Bottom