Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

cHaDeMa.......!!

Enyi wapinga maendeleo acheni hizo siasa chafu, mnawavamia wenzenu mkizania ni CCM......

CCM hakina asili ya vurugu na haitakuwa na vurungi, hivi vyote vinavyotokea ni matokeo ya upinzani ulio filisika kisiasa.

Siasa sio vurugu ndugu zangu, siasa ni apambanifu wa hoja tu, sasa nyinyi wapinga maendeleo (upinzani) msiojua kufanya siasa mnaigeuza na kuifanya uwanja wa mapambano.

Shame on you.

Naamini unajua kusoma, kwa hiyo soma (in fact kuna mpaka picha) kurasa za mbele za magazeti makini ya leo halafu uje tena hapa kuisifia ccm "isiyo na vurugu" gamba b.w.ege weee!
 
Chadema 90 zilibaki ccm na kafufu
Wewe LENGIO acha unafiki mtoto wa kiume.
Wewe juzi umepandisha thread hapa kuwa Lema amewatapeli wana Arusha kiwanja cha kujenga hospitali na amejimilikisha yeye.
Ulipoambiwa lete uthibitisho wa hati za umiliki za Lema ukaingia mitini hadi leo bila majibu kwa wanajamvi.

Usianzishe habari za kizushi majamvini broda kama huna nguvu ya hoja.

Ulikolala wewe wenzio waliamkia. Acha ushambenga mtoto wa kiumeni wewe bana. Mnaboa kweli mapopompo wengine nyie.
 
Last edited by a moderator:

hii ndiyo jf .... ante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Anaekufa siku zote anatafuta wa kufa nae, anatapatapa.
CCM inakufa kifo cha aibu.
 
cHaDeMa.......!!

Enyi wapinga maendeleo acheni hizo siasa chafu, mnawavamia wenzenu mkizania ni CCM......

CCM hakina asili ya vurugu na haitakuwa na vurungi, hivi vyote vinavyotokea ni matokeo ya upinzani ulio filisika kisiasa.

Siasa sio vurugu ndugu zangu, siasa ni apambanifu wa hoja tu, sasa nyinyi wapinga maendeleo (upinzani) msiojua kufanya siasa mnaigeuza na kuifanya uwanja wa mapambano.

Shame on you.

teh teh vipi uvmagamba walikuwa wapigana mabusu wakt w
 
cHaDeMa.......!!

Enyi wapinga maendeleo acheni hizo siasa chafu, mnawavamia wenzenu mkizania ni CCM......

CCM hakina asili ya vurugu na haitakuwa na vurungi, hivi vyote vinavyotokea ni matokeo ya upinzani ulio filisika kisiasa.

Siasa sio vurugu ndugu zangu, siasa ni apambanifu wa hoja tu, sasa nyinyi wapinga maendeleo (upinzani) msiojua kufanya siasa mnaigeuza na kuifanya uwanja wa mapambano.

Shame on you.

Ole wake anayefanya vurugu maana atahukumiwa muda si mrefu. Heri wavumilivu wenye matumaini maana watawashinda wabaka demokrasia kwa kutumia sanduku la kura
 
Back
Top Bottom