Yanayojiri katika Mkutano wa CHADEMA Iringa...

Hao viongozi wanaotarajiwa kuhutubia ni akina nani? Usisahau kutupatia update zinazoandamana na picha tafadhali
 
Watu ni wengi na wengi ni vijana walio kuja kwa nauli zao wala sio malory.

Jamani nimeshindwa kuweka picha naomba msaada
 
Kuna mtu alituarifu jana kuwa Nape amesambaratisha Chadema Iringa.
Mkuu kwani hukuona picha za mkutano wake...hakika hata mwenyekiti wa chadema kata moja wapo hapo iringa ange mfunika............
 
Watu ni wengi na wengi ni vijana walio kuja kwa nauli zao wala sio malory.

Jamani nimeshindwa kuweka picha naomba msaada
 
Leo CHADEMA wapo irina. Muda huu mkutano ndo unaanza. Tunaye kamanda Tundu Lissu, kamanda Mnyika, Halima Mdee, dogo Nassari na wengine wengi.
Ninachoona sasa CCM haina kitu Iringa.
 
Hii si mchezo naona Dar yupo kamanda, jembe, jemedari LEMA pamoja na heche don Bosco
 
Back
Top Bottom