Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

wanatiisha watu kwa kutumia polisi ili uchakachuaji ukamilike,mpaka kieleweke ccm kubalini matokeo
 
Taarifa ninazopata sasa hivi ni kuwa CHADEMA ilikuwa inaongoza karibu kata zote, mara matokeo rasmi yamempa CCM ushindi, ndipo watu wamegeuka mbogo...mwenye taarifa zaidi pls
 
Shinyanga mjini leo asubuhi watu walikuwa wanafuatilia matokeo wakapigwa na mabomu. Lakini wamerudi tena sahizi. Ofisi za manispaa zimepigwa moto, hakijaeleweka bado... matokeo yamechakachuliwa....
 
Shinyanga mjini leo asubuhi watu walikuwa wanafuatilia matokeo wakapigwa na mabomu. Lakini wamerudi tena sahizi. Ofisi za manispaa zimepigwa moto, hakijaeleweka bado... matokeo yamechakachuliwa....

Huyu mwenzetu ni mgeni humu kajiunga leo. Kuna ukweli wowote? Au kajiunga tu kutuchanganya? Mlio karibu na Shinyanga mtuhakikishie kuhusu kupigwa Moto Ofisi za Manispaa.
 
Asituchanganyie habari hapa jf jamani imevamiwa hapa si pa umbea aende kwenye miichuzi blog na mjengwa huko
 
Jamani hii Forum siyo sehemu ya bla blaa, kila unapoandika kitu useme source yake na kam huna uhakika bora usiandike kitu. Tunataka vitu live na vya kweli. Sasa W of faith umetoa wapi habari hizo au ni tetesi?
 
baada ya kutangazwa kuwa shelembi wa chadema ameshinda , uwanja wa manispaa ya shynga ulilipuka kwa furaha baada ya wafuasi wa chadema kuanza maandamano kulekea mjini shy kama km 2 kutoka manispaa, walipofika mjini shy,huku nyuma matokeo mengine yakatangazwa kuwa Masele wa CCM kashinda, ilichukua muda mashabiki wa chadema kugundua kuwa walikuwa wanashangilia ushindi usiokuwepo, hapo ndo fujo zikaanza ofisi za manispaa na ofisi ya ccm zimechomwa moto, mabomu na virungu na magari ya polisi yametanda mjini
 
jamani kama ni kweli yametokea hayo tuangalie je sheria inasemaje kama nec umeishatangazwa mshindi yawezekana jamaa wa nec hao hao wakabadili tena?kama ndo hivyo mbona itakuwa kazi ,hebu wanasheria wapitie hii kitu yawezekana sheria inabana kuwa hawezi kubadili tena matokeo
 
baada ya kutangazwa kuwa shelembi wa chadema ameshinda , uwanja wa manispaa ya shynga ulilipuka kwa furaha baada ya wafuasi wa chadema kuanza maandamano kulekea mjini shy kama km 2 kutoka manispaa, walipofika mjini shy,huku nyuma matokeo mengine yakatangazwa kuwa Masele wa CCM kashinda, ilichukua muda mashabiki wa chadema kugundua kuwa walikuwa wanashangilia ushindi usiokuwepo, hapo ndo fujo zikaanza ofisi za manispaa na ofisi ya ccm zimechomwa moto, mabomu na virungu na magari ya polisi yametanda mjini

Hao CCM wanachofanya ni kama huyu ngedele hapa chini wasubiri sasa watu watakaposala ndio watakapojua faida ya kuchakachua
annoyances.gif
 
this is serious kwakweli
kwamba ulimi ulikosea au?
 
Je hizo taarifa ni za kweli? Maana mpaka muda mfupi uliopita nilikuwa pale kwenye sehemu wanapohesabu kura msimamizi alikuwa hajatangaza. Mimi nadhani tusubiri hatima yao itakuwaje. Mapaka kitaeleweka tu!!!!
 
Hawa wasimamizi wa majimbo wengine wenye tabia ya kujipendekeza na kulamba mpaka sehemu za naniii za wakubwa zao ndio wanao haribu demokrasia. Wananchi wanatakiwa wawe ngngari iweje mtu ambaye si chaguo lenu ajidai ameshinda kihalali na awawkilishe ? Dawa ni kuwapiga mawe pindi wanapokuja kwetu na kujifanya ni wawakilishi wetu. Waende wakawawakilishe familia zao na vijibwana vyao mafisadi wasio na huruma na Watanzania Bull sh...t!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:nono: SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU NA NILAZIMA IHESHIMIWE NA ITETEWE KWA KILA TONE LA JASHO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni kweli matokeo ya shelembi yamechakachuliwa tena hadharani na tume walimtangaza mshindi..after watu kuondoka manispaa yakatangazwa mapya..jamani kuhusu shy ni kweli na wala hakuna uongo just make a call to friend o relative in shy.mambo kwao si mazuri hata kidogo,,redio zingine eti ccm kashinda kwa kura 204, nyingine kura 1 nyingine 100, tbc ccm kashinda, nasema kuku hawa wachomwe moto humo humo maofisini mwao na ktkmajumba yao bora tuomboleze majivu na si kunpokwa ushindi.kampeni zenyewe tumefanya kwa kujichangisha na hatujamwibia mtu. Hapana imetosha
 
ni kweli wakuu matokeo ya shinyanga yana utata. wananchi walikuwa wamekusanyika ofisi ya manspaa. wakadanganywa chadema kashinda wakaondoka wanashangilia mitaani. mimi nilikutana na kundi kubwa. so walipotoka tu matokeo yakabadilishwa, ushindi ukaenda ccm.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom