Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

samahani mh. tulipenda kujua pia hii taarifa ya kuwepo wahuni waliopangwa kufanya fujo katika mkutano wenu mliifikisha polisi kwa maandishi au...?


Je hawa Polisi wanahusishaje mhutubiaji katika mkutano na watu kupigana mawe nje ya mkutano?


je pia ni kweli kifo kilitokea karibu na uwanja wa mkutano?
 
wauwaji ni ccm na ngojeni mtamtambua huyo mungu wa chadema...ni swala la muda tu,

Kumbe watu waliokodishwa kufanya vurugu walikwishajulikana na polisi kutaarifiwa. Sasa ya nini kubughudhi watu wengine?
 
swali kwa ujumla kama cdm mnajuwa kujenga hoja kwa nn mnategemea nguvu ya umma?
 
Mkanda wa video utasema yote safi sana tutaona uongo wao wa kutupwa

CHADEMA wako smart sana kwenye mambo yao. CCM itaendelea kuteseka hawajui jinsi ya kukiangusha kama walivyo fanikiwa kwa NCCR,CUF, UDP...
 
Mkanda wa video utasema yote safi sana tutaona uongo wao wa kutupwa

CHADEMA wako smart sana kwenye mambo yao. CCM itaendelea kuteseka hawajui jinsi ya kukiangusha kama walivyo fanikiwa kwa NCCR,CUF, UDP...
 
Katika nchi za magharibi, ikiwa kutatokea kifo cha mtu yeyote wakati Polisi ndio wameshughulika na Ulinzi ktk mkutano halali ulopewa kibali basi kesi hufunguliwa kiongozi aliyekabidhiwa mamlaka ya kulinda maana mauaji yametokea chini ya ulinzi wake, lakini nashangaa sana kuona kwetu Tanzania wanakamatwa watu ambao walitakiwa kupewa ulinzi na wanajua wazi kwamba sii wao walioshiriki ktk mauaji..

Ikiwa Chadema waliufanya mkutano huu kinyume cha sheria, wakalazimisha mkutano kwa ulinzi wao dhidi ya matakwa ya sheria hapo ndipo tunaweza kuwalaumu lakini maadam walipewa ulinzi na bado mtu kauawa basi Polisi ndio wanatakiwa kujibu mashtaka haya.
Ajabu nyingine ni kuwa wanamwita mtu kutoa maelezo polisi wakati polisi walishuudia tukio lote, sasa sijui waliokuwepo mkutanoni walikuwa ni vipofu na viziwi?.
 
swali kwa ujumla kama cdm mnajuwa kujenga hoja kwa nn mnategemea nguvu ya umma?

Ukweli ni kwamba huwezi kutaka kuongoza watu bila kuwa na support ya watu. CCM inatakiwa kulifahamu hilo. Kuwa na dola, jeshi etc hakutasaidia kuongoza watu wenye akili timamu. Kila siku itakuwa ni vurugu tu.
 
CCM ni wauaji.... wanataka kumpoteza mnyika kwa sababu amethubutu kusema JK ni dhaifu??

Hapo penye red naona pangekuwa re-placed na JK. JK si tu ni muuaji, bali mbinafsi, na anayependa ubabe usio na tija. Hizi nguvu zote anazoweka kulipa kisasi angezitumia kufanya mambo ya maana. Naamini kabisa kuna CCM wengi tu wasiopenda hizi style za ubabe lakini hawanapakutokea - wanaishia kudumisha sera za mwenyekiti. Very sad!
 
kwa hali ilivyo sasa CDM na wote wenye mapenzi mema na chama hiki lazima tuwe makini mno kwa kila hatua uzembe kidogo tu utakuwa na gharama kubwa mno.

Ni vizuri pia watu (hasa viongozi wa vyama, NGO's, etc) wafahamu pia sheria japo kidogo. Mfano; haki za mshtaki na mshtakiwa. Je Polisi wanaruhusiwa kukuhoji katika mazingira gani na wapi? Je Polisi wanaruhusiwa kukuita na kukuhoji usiku? Je wakati wa mahojiano umeme ukikatika mshtakiwa au mshtaki ana haki zipi? Hii itaondoa mazingira ya mtu kuhojiwa usiku; wakati anarudi nyumbani mnaambiwa amepigwa na majambazi amekufa or amepata hajali. Hizi nyakati sio za kuaminiana tena.
 
Back
Top Bottom