Yanayojili Temeke na sehemu nyingine kuhusu majina na usahili wa sensa

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
164
ndg zangu tupia hapa yanayojili kuhusu majina na usahili wa makarani wa sensa maana kuna sehemu zingine mpaka sasa hakieleweki. Hii kitu muhimu sana maana habari toka ndani zinasema malipo si chini ya laki 5 kwa shughuli yote. TUHABARISHANENI.
 
Mie niko hapa kwa afisa mtendaji kata moja ya mbagala lakini hadi sasa hawajabandika hata majina ya walochaguliwa..wewe uko wapi?
 
...Mbezi Mwisho walibandika toka juma4. aliyeona jina lake alitakiwa kuleta Vyeti halisi ili kuthibitishwa na kufanyiwa Usaili lakini kijana wangu anasema hakukuwa na usaili wowote ila vyeti viliangaliwa tu kisha wakaambiwa waondoke na wataambiwa kitakachofuata, Basi. Lini? hakuna aliyesema.
 
Hawajabandika mpaka sasa tuna wasiwasi wanataka kuwekana watu wao

Juna uwezekano huo aiseee maana mi nimetoka kata ya Mianzini (Charambe Majimatitu) ila hamna lolote. wameniambia nirudu baadae. sasa sijui hiyo baadae ndo saa ngapi.
 
Kwa dar wametoa ya wilaya moja tu kwahyo ilala na temeke subrin mtaitwa tu. Mikoani muwe na subra pia.
 
Kwa dar wametoa ya wilaya moja tu kwahyo ilala na temeke subrin mtaitwa tu. Mikoani muwe na subra pia.
true lie!!!mbona kibaha wameshabandika na nimeyaona kwa macho yangu...wengi ni waislam sasa sijui watagomeaje hiyo sensa?
 
true lie!!!mbona kibaha wameshabandika na nimeyaona kwa macho yangu...wengi ni waislam sasa sijui watagomeaje hiyo sensa?

ukiona hivyo ujue waislam ni wengi eneo na lengo la waislam litatimia zaidi tukiwa na wahesabuji ili watupe taarifa jinsi kaya mbalimbali zinavyogoma kuhesabiwa.
 
true lie!!!mbona kibaha wameshabandika na nimeyaona kwa macho yangu...wengi ni waislam sasa sijui watagomeaje hiyo sensa?

ndg yangu kuwa muelewa namaanisha mikoa ambayo bado kama dodoma, moro, tabora, ruvuma na mingineyo. Wewe kama umeona ni jambo la kuwajuza na wenzako. Usilete mambo ya mipashano kama wanawake.
 
kibaha mji majina yamebandikwa tayari wastani wa walimu 4 wamechukuliwa kila shule na baadhi ya watumishi wa kada zingine. wasiokuwa na ajira wastani wa mtu mmoja kwa kila kata. leo wanachukua fomu za kukubali kazi mwisho jumapili, kila la heri.
 
ndg yangu kuwa muelewa namaanisha mikoa ambayo bado kama dodoma, moro, tabora, ruvuma na mingineyo. Wewe kama umeona ni jambo la kuwajuza na wenzako. Usilete mambo ya mipashano kama wanawake.
sasa mbona hukusema kuwa unamaanisha hiyo mikoa?au hujui kuwa kibaha ni mkoani yaani mkoa wa pwani?acha mitusi mwezi wa ramadhani huu!!!
 
Back
Top Bottom