Yanayoendelea Arusha; je, yana mkono wa Lowasa?

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Wah wa JF, ninatafakari haya yanayoendelea Arusha ya viongozi wa CCM kujitoa na kuhamia chadema kama yana mkono wa EL. Kama ni ndiyo, maana yake ni nini? Kwa nini wakimbilie chadema? Je yeye mh EL anaweza kujitoa CCM na kukimbilia chadema? Hebu tutafakari jamani?
 
Back
Top Bottom