Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

382793_10150437961598620_818678619_8458022_1769865313_n.jpg
 
nikisema magenge wewe sema mwenge. magenge..??ushindwe na ulegee wewe virus. wakuu nilitaman tuendelee wote lakini chrg imeisha tanesco sio. sasa hivi kapanda nuru heri. baba umetutoka tunakukumbuka. ushamsoma? mia
 
chondechonde mpenzi wangu nakupenda peke yako usikonde mpenzi wangu..tafadhali mpenzi wangu nilindie penzi langu...by nuru heri. mia
 
Leaders vipi? Au ndio hakuna kitu cha kuripoti?
Clouds fm wanarusha live kutoka leaders, gangwe mob ndo wanaimba ila wanakatisha nyimbo coz watu wamepoa na wanagoma kuitikia wanapoambiwa say yooo!
watangazaji wa clouds wanawahoji mashabiki waliokuja leaders na kumuuliza kila wanaomuhoji kuwa amekuja kwa ajili ya kuona show ya nani? kuna jamaa kaulizwa kaja kwa ajili ya msanii gani kajibu DMX, watangazaji wamemuambia kuwa DMX haji tena so aseme msanii wa bongo atayependa kumuona badala ya DMX kasema anamtaka DMX tuu, wamekatisha kumuhoji gafla.
Mshabiki mwingine wa hapo leaders club anaulizwa kaja kwa ajili ya msanii gani, kajibu amekuja kwa ajili ya DMX, watangazaji wanaomuhoji wamepotezea mahojiano juu kwa juu.
 
Back
Top Bottom