Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

wakuu huyu mkoloni ni noumer.kawasindikiza mapacha.namuona dan msimamo anaruka ruka kwa furaha...wanauliza mumekaa mkao gani..tumekaa mkao wa kula si mnaona hiz sura?bila shaka umeupata huu wimbo.piga kelele kwa ant-virus. sasa anaingia dan msimamo na wimbo wa siku nzuri inavyokwenda. wakuu chrg itakata si unajua leo hapa kinyama tumeshinda bila umeme? habari ndo hiyo. masela wamefurahi kinoma. ukiona kimya ujue ndo hivyo. mia
 
Frankly speaking Dj JD ni mtu aliyenifanya nipende muziki! Nipo hapa kumuona after very long time! Nasapoti harakati za wasanii lakini mkono wa Dj JD umenishawishi sana kuwa hapa!!

DJ JD yupo?
 
hiyo ni lazima wapoyoye na wametumia jina la dmx bila makubaliano maalumu kitanuka wanafkir ni kama wa THH
 
Naona Dr. SLAA naye anaingia hapa akiwa na my waifu wake. Wamependeza sana kwakweli.
 
kapanda dj madijo for shizo..na dj promo. halafu atapanda jay d. magenge mwenge waache wenge..wakuu hapa kinyama ni noma yani brudani kwenda mbele..sijalaum kwa hii buku5. mtei upo wapi bana?inabidi uage bana napata wakati mgumu na chrg imekata. mia
 
kapanda dj madijo for shizo..na dj promo. halafu atapanda jay d. magenge mwenge waache wenge..wakuu hapa kinyama ni noma yani brudani kwenda mbele..sijalaum kwa hii buku5. mtei upo wapi bana?inabidi uage bana napata wakati mgumu na chrg imekata. wamepanda sasa hivi majobless na wimbo wao tumeganga sana hadi vichwa vimeongezeka upana na wimbo wa tupo kwenye party. mia
 
Bk9X1uL5RhFlUeyOA6T8AmAtoUzi2si1pW9Kxlak5FzBNQ2kZ7SROnsnAsuM2GY952TIIkxuO4poxg0pLKM2ZgGEKwxSRjvJ4hv8vXoEGHDJfKT0AAAAASUVORK5CYII=
Nyomii kubwa.
 
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?

I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.

Mkuu Indume Yene!
Sikutegemea comment ya aina hii, at least kutoka kwa mgu anayeheshimika sana kama wewe!...Kwa jinsi hii naamini unamlaumu hata yeye kuwepo kwenye uzinduzi usiku huu!...MentALITY ya namna hii ni mbaya san!...Relaxation katika kazi yoyote ni muhimu!
Unless wewe ni mgeni kabisa na Regia, lakini wanaomjua wanaelewa anachokifanya bungeni...huwezi kumfananisha na Mkongoro Mahanga!
 
wakuu watu ni nyomi na kesho naweka picha ili muamin. sasa hivi anaingia rama d. naomba uchungunze kwanza kabla ya uamzi. nafikili ushamsoma. mia
 
Back
Top Bottom