Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

regia umeenda wapi tena?mimi chrg inakata na bado nataka kuawaupdate jf. njoo hapa vip kwenye kona. mia
 
vinega.jpg
Nyomi ndani ya ustawi wa jamii....kweli sugu moto chini
 
Asiyejua maana,haambiwi maana!

QUOTE=Indume Yene;2888018]Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?

I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.
[/QUOTE]
 
Uwanja umeshapata moto na watu wako moto!so far Wabunge Mnyika na Joyce Mukya wameshafika kumpa shavu Sugu.Mweyekiti wa BAVICHA Heche na Katibu wa Baraza hilo nao nawaona hapa!
 
hey hey dj!natamani sister p apande na hili pini!
Frankly speaking Dj JD ni mtu aliyenifanya nipende muziki! Nipo hapa kumuona after very long time! Nasapoti harakati za wasanii lakini mkono wa Dj JD umenishawishi sana kuwa hapa!!
 
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?

I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.

Aliposema amekisoma akiwa 'bungeni' haina maana kuwa alikisoma akiwa ndani ya mkutano wa bunge. Mbona inaeleweka vizuri tu?
 
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?

I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.
Acha WIVU wewe,nenda WEWE basi mjengoni.Msituletee vi post vya KIGASHO GASHO hapa.Kama huna cha kuchanga kaa kimya
 
Back
Top Bottom