Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Haya jamani waliopo ktk ukumbi tupeni mambo nini kinaendelea ktk ukombozi wa wasanii walionyonywa kwa mda mrefu

images
 
Mi sijaenda kaka. Mpigie Rose Chitallah muulizie au waziri wa michezo times fm.
 
usijali mkuu, nipo hapa millenium. mda mfupi ntaingia.ntawarusha hewani live na haka ka simu kangu ka mchina. tuonane pale. mia
 
Eti kaka/dada figganigga, ilo neno "mia" kwenye mwisho wa post zako huwa unaliandikaa au lipo automatiki kama signecha? SORRY KWA KUTOKA NJE YA MADA.
 
jamani nipo mwanza fanyeni kunipa updates ka virus wamekua detected
 
Nami nipo Uwanjani kumsupport Kamanda Sugu.Kwa kweli watu wamejitahidi kuitikia wito na bado watu wanamiminika kwa wingi.Show yenyewe bado haijaanza bado wako kwenye trela.Leo pia Sugu atazindua KITABU chake Cha Muziki na Maisha,from the street to the Parliament,nikitabu kizuri sana,nilikisoma kidogo nilipokuwa Bungeni,Kinatia moyo wale waliokata tamaa ya kutoka.Kinauzwa sh elfu tano tu.Wahi Nakala yako.
 
pamoja sana kamanda tuko njiani tunakuja update uendelee kutupa..leo ndo music wetu unazaliwa upya'na picha usisahau
 
Back
Top Bottom