Yametimia kama yalivyo nenwa na manabii

Benno kuna kitu ningesema kuhusu hii mada yako lakini nawaogopa kina mama wa MMU wasije wakakata nonino zangu,wakazikaanga na kuwatupia mbwa wa fildi fosi.
 
na wee kwa misifa hujambo hata kutualika wanachuo wenzako ile ya kiuwongo uwongo ukaona tutakuja kumaliza pilau;anyway hongera mwaya bora umeoa utatulia sasa!! usifungue tena zipu kwa mabinti wasiokuhusu:)
<br />
<br />


Wewe umechukua maneno yangu mdomoni........well said
 
Benno kuna kitu ningesema kuhusu hii mada yako lakini nawaogopa kina mama wa MMU wasije wakakata nonino zangu,wakazikaanga na kuwatupia mbwa wa fildi fosi.

Ai wewe seema, mimi i promise nitawatuliza hawatakugusa... Hakiya nani vile...
 
...Hongera sana kaka, Bwana Mungu awatangulie.
Shem naye ni memba wa JF? ...kama bado, mwalike ajumuike nasi bana.
Humu tunaokoteza busara mbili tatu ndoa inapokumbwa na majaribu.

Kila la heri.
 
mmependeza,napenda mnavyojiamini mpk kutuwekea picha,wanajf wengine waige mfano wenu kuweka picha hapa za members halisi isiwe ni ishu
 
Benno kuna kitu ningesema kuhusu hii mada yako lakini nawaogopa kina mama wa MMU wasije wakakata nonino zangu,wakazikaanga na kuwatupia mbwa wa fildi fosi.

we unamambo mimi niko pouwa tuu. Nimeweka picha watu waone na wenyekupongeza luksa. Sasa we sijui wawaza jema au baya. Kazi kwako. Mimi najiamini bwana
 
Wana JF Inabidi tubadilike. Nimeweka wedding picture JF jamaa wanasema nataka sifa. Leo baadhi wamekaa na TV kuangalia jamaa anaoa. Daa kazi ipo
 
Jamani kaniibia mchumba wangu, nitamshtaki wapi??? halafu alishatudanganya kua ameoa! kumbe alikua anamdanganya nanihhiiii, kumbe eeehh! Hongera sana ndugu yangu I was just kidding, usiogope huyo ndie MUNGU aliekupa, Soma Mhubiri 5: na kuendelea kuna maneno yanasema; Heri kuwa wawili kuliko mmoja, maana wapata Ijara njema Kwa BWANA.....endelea kisha ni PM
 
Remember after marriage..........The Head Becomes Thinking and the Heart Becomes Sinking
 
ukiona jema ongea kama baya achana nalo. Usipunguze furaha yetu. Si umeona hatuja weka picha mbaya sasa mabaya yanatoka wapi? We pongeza tuu inatosha.. Mpaka kufikia hapo ni kazi kubwa ikiwemo ya kubeba ubaya
HAPO UMENENA KAKA. 2pamoja.
 
Mkuu Gaudensia maana yake si kuongoza bali Furaha. Jina hilo nomino ya kitenzi cha kilatini 'gaudere, yaani kufurahi. Kumbe nomino inakuwa Gaudentia (latin) au Gaudencia/Gaudensia kulingana na lugha unayoitumia. Hata hivo hongera sana.
 
Back
Top Bottom