Yametimia kama yalivyo nenwa na manabii

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Ilikuwa siku ya furaha, mchozi mdogo mdogo ukimshuka na tabasamu lililoshuhudiwa na umati wa watu, pale alipobatizwa na kubadili jina akaitwa Gaudensia maana yake Guidence [ ataniongoza siku zote za maisha yangu], Jina la Hadija likasahaulika.

:A S-key::A S-key: Funguo hizi zikasogezwa na kufunga lile pingu ambalo linatetemesha na kushitua mioyo ya hawa wawili na kutoa kiapo mbele ya hekalu la mungu.

Furaha hii ni mwanzo wa mengi yampendezayo yeye akiyetupa uzima huu wa milele.

karibu tufurahi pamoja na tuombeane heri ya fanaka na maisha marefu
 
Attachments

  • Mrs Benno.JPG
    Mrs Benno.JPG
    259 KB · Views: 243
  • Gaudencia.JPG
    Gaudencia.JPG
    276.4 KB · Views: 187
  • Efatha.JPG
    Efatha.JPG
    250.1 KB · Views: 144
  • Kwa Shida na raha.JPG
    Kwa Shida na raha.JPG
    265.5 KB · Views: 111
  • Mwanadamu hakitenganishi.JPG
    Mwanadamu hakitenganishi.JPG
    298.3 KB · Views: 143
  • Kubariki Pete.JPG
    Kubariki Pete.JPG
    299.4 KB · Views: 100
  • Mr & Mrs Benno & Padre1.JPG
    Mr & Mrs Benno & Padre1.JPG
    280.9 KB · Views: 151
  • Kwa Pete hii.JPG
    Kwa Pete hii.JPG
    262.4 KB · Views: 108
  • Mr & Mrs Benno.JPG
    Mr & Mrs Benno.JPG
    238.9 KB · Views: 908
Watu kwa kujilipua duhhh.

Mmependeza sana aisee nawaombea maisha marefu na yenye mafanikio mema Mungu awabariki sana
 
Hongera sana mmeanza safari ndefu katika maisha yenu Mungu awabariki na msisahau kumtanguliza katika kila jambo kwenye maisha yenu
 
Hongereni sana
nawatakia kila lakheri
na safari hii mpya Mungu awatangulie
kwa kila mtakalo maishani..
God Bless.
 
Ilikuwa siku ya furaha, mchozi mdogo mdogo ukimshuka na tabasamu lililoshuhudiwa na umati wa watu, pale alipobatizwa na kubadili jina akaitwa Gaudensia maana yake Guidence [ ataniongoza siku zote za maisha yangu], Jina la Hadija likasahaulika.

:A S-key::A S-key: Funguo hizi zikasogezwa na kufunga lile pingu ambalo linatetemesha na kushitua mioyo ya hawa wawili na kutoa kiapo mbele ya hekalu la mungu.

Furaha hii ni mwanzo wa mengi yampendezayo yeye akiyetupa uzima huu wa milele.

karibu tufurahi pamoja na tuombeane heri ya fanaka na maisha marefu
Sasa mbona hautuweki wazi huyu ndo wewe au ni nani?
 
Duh, kwa hiyo dada yetu kitimoto kwa kwenda mbele..,
ebana hongera sana mkuu., mi yangu soon..!!
 
... akaitwa Gaudensia maana yake Guidence [ ataniongoza siku zote za maisha yangu], Jina la Hadija likasahaulika.

karibu tufurahi pamoja na tuombeane heri ya fanaka na maisha marefu
hapo kwenye red ....kwani Hadija haina translation ya Kiingereza au Kingoni!!??
 
Hongereni sana wanandoa wapya

Just know that marriage life is love, battle, laughter, tears, power, colours, flower and sometimes knives!!
it can be guns and roses but also louder and quieter

Fight for what you believe but always remember God leads it from above but people lead it from around

.......HONGERENI.........
 
Hongereni sana maharusi, Msiache kumtanguliza Mungu katika maisha haya mliyoaanza..
 
Si huyu ni Mimi Benno B Mwitumba na Mke wangu ni Gaudensia Mbembati (Mwitumba) kabla ya kubatizwa alikuwa anaitwa Hadija Ramadhani Mbembati
 
Nikiwa ofisini na chapa kazi basi kuna mteja alipita jirani na desk yangu, akaanza kutoa mchozi wa nguvu. Nimeshangazwa sana na nikashindwa kuelewa. Sasa ikabidi nitoke nje ya ofisi ili nijihami yasije yakanikuta ya yule jamaa wa IMF, Nikamuomba mfanyakazi mwenzagu aende akamuulize kwa nini analia.

Haya yalikuwa ni majibu yake, ''' NIMEIONA HIYO PICHA HAPO KWENYE LAPTOP NIKAKUMBUKA JINSI NILIVYOACHWA SIKU TATU KABLA YA NDOA'''

Daaa Sikuwa na Namna ikabidi nimuombe mmama mmoja akamtulize kidogo ndipo Biashara iendelee.

Usikate tamaa, usikate tamaa maana siku yako ipo, inakuja taratibu
 
Attachments

  • my wife.jpg
    my wife.jpg
    68 KB · Views: 62
Back
Top Bottom