Nimetokwa machozi jana baada ya kupata ushindi sumbawanga mjini...ccm walitunyanyasa sanaa kwakutufanya sie ni mazombi wanakuja chukua kura na kuondoka sasa wafipa wamesema basi inatosha...
Haijawahi tokea ccm kugaragazwa kiasi hiki ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, tangu nianze kupiga kura ndo marayangu ya kwanza nachagua serikali za mitaa huwa tunawaachia wajichague wenyewe...
Sasa watu wameamka na mwamko ni mkubwa sanaa...
UKAWA, naomba msilale uzi ni huo huo fanyenyi kampeni ya kuwaelimisha watu mpaka kieleweke mwakani...
Viva mapinduzi viva ukawa daima...
Walaaniwe wote wanaotetea majizi ccm