Yamenikutaaa...Yamenikutaaa...yoo

Hawa masharobaro wa siku hizi utawaweza mkuu? Kichekesho tu na hizo swagga zao!!!

Kipipi mimi co sharobaro yoo....ckumpa hyo elfu10..
nlmwambia anibeep akasema kuna sh.0 (wakat alikua anawaka balaa,ananukia,katupia,nywele fulu ufuta)
nkamwambia bac an2mie tafadhal npgie akasema zmeisha duuh ..
nikamwambia hapa cna ela,nkamuomba akaunt namba yake ili nm2mie kwa benki...akaguna mhhhmmh...akasema bath yaishe....mwenyewe akanpgia baadae kumbe kinanipenda bath tu..yoo
 
hapa tunajadili nini waungwana?

1.yooo
2.GT
3.Mlimani city
4.Jack na elfu kumi?
 
Ten thau ndo ikushupaze shingo hvo? Ulitaka nae akuchekee...do u knw womem hawapigagi decent men mzinga tena cku ya kwanza! Smtimes hata post zako zinakudefine ulivyo.....nakuonaga ka zoba flani hv..
 
mpaka simu nimekupa,nimebaki na line,
ili nikiomba mzigo,unipe kilaini.Nalog off
 
dhana hii iendelee mara mia
ndo njia pekee ya kukomesha kutongoza ovyo
hv huwezi kupiga na mtu stori yakaishia hapo mpaka communication
umefukuzwa kijanja kijana.
 
me najua kuhonga tena sanaa...kilungu chake cha kjnga sana yan kanchukulia me mjinga na ataaonaa..yoo
Ungekubaliwa ungejiona bonge la HB kumbe hamna lolote, dawa ni hiyo tu. Siku hizi dogo hakuna hapana, hapana itaitoa mwenyewe kwa virungu tu.
 
ukome we c kila mtu unazani wa kupretend cku za kwanza napenda wote wangekuwa hivyo
 
Hizi swaga za JF siku hizi mimi zaniacha hoi huyu anatumia "..yoo" na yule anatumia "Nalog off"!
Haya sisi yetu macho!!!!!!!!!!! :A S embarassed:
:A S embarassed:
 
alafu sa ingine mi naona kama nyie ndio wazinguaji wala sio madu kama mnavodai nyie..........mana mpaka mtu akutoe kitofa ina mana amekuona ww unang'oleka kirahisi ndio mana akarusha nyavu fasta
asikuambie mtu hata cc tunambinu zetu za kujua huyu wetu tu (bwabwa) na huyu sio.......
 
yep sawia kabisa kwa SHAROZ kama weye; ama hujui anatumia hela kulainisha hivyo vidole visikomae na ku bofya bofya?
 
We unataka akupigie kwa credit yake kwa lipi haswa??
Kam aunataka akutafute wakati hamna mpango wa maana muwezeshe!!

Sasa si angeomba hata jero tu,sasa yeye anaomba buku ten nzima jamani?wakati hiyo ni bajeti ya wiki nzima uswazi.
 
Back
Top Bottom