Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

Hapo inabidi uwe makini, huenda pia ndugu zako nao wana matatizo.
 
Mtu ataachana na mama yake na baba yake, nao watakuwa mwili mmoja, alichokiunganisha Mungu mwanadamu akiwepo mzazi na ndugu wasitenganishe. Chonde chonde kaka angu Mama yako hata pamoja amekuzaa asikutenganishe na mke wako. Tafuta jinsi ya kuishi na mkeo kwa akili kamwe mama hawezi chukua nafasi ya mke moyoni mwako, atabki mama tu milele, fikiria kk ukimuacha huyo ukamuoa mwingine wazazi wakamchukia tena utamuacha? Dah bwana labda kuna sababu ingine, hicho cha kujibu inategemea na mazingira. Nakuja!!
 
Anti umeongea kitu cha maana sana, wanaume wengi huwa wanaogopa familia zao, inapotokea bint haelewani na wakwe zake basi yeye bint ndio mwenye makosa na ikiwezekana anapewa talaka, tuwe makini sana na wazazi wetu. Iweje umuache mkeo kwa ajili ya nduguzo? una uhakika gani kuwa mkeo mpya watampenda?
 
No way,kwa mlio lelewa kwenye familia za kizungu sawa!
Ila mimi niliye lelewa familia za mlo mmoja tena na mama peke yake,kazi yenyewe amefanya u-house gal,ukondakta full kudhalilishwa afu leo mke wangu awe na maana kuliko mama?

Nihukumiwe kwa hilo,ila mke ntapata mwingine na sio mzazi alo nipigania toka navaa nguo moja mwaka mzima hadi leo nilipo!

Uzungu huu ndo unafanya mnaoa wake zenu wana waambia wazazi kitu cha mwisho,tuangalie maisha yetu mnakubali na kuwatosa wazazi wakiwa na shida,but for me......never,my mama is every thing to me!
 
Nduguzo naamini kuna mahali wamemkwaza huyo mkeo, pia mkeo kuna mahali amewakwaza hao nduguzo , hiyo ndiyo 7bu ya wao kutoelewana, suluhisho siyo kuachana naye, suluhisho ni kukaa pamoja na kutatua tatizo kati yao.
Pia kutopata mtoto kwa huyo dada nalo limem athiri kisaikolojia, na yawezekana ikawa ndiyo 7bu kubwa ya kutoelewana na huyo mtoto wako, japo hilo la kumpeleka kijijini nalo siyo suluhisho angekuwa mtoto wake ni jeuri kama anavyosema je angempeleka kijijini akajifunze adabu?? Au angebaki naye na kumrekebisha??.
Na kwa vile upo mbali naamini kuna mengi sana mazuri kwa mabaya yanayoendelea katika familia yako.
Ukimaliza masomo yako rudi home mkae ,mkeo ,familia pande zote ili mmalize tatizo,,ila kuachana siyo suluhisho....labda ifikie hatua hiyo ikishindikana kila njia.......kutokupata mtoto kwa mwanamke ukiwa ndoani ni tatizo sana hasa upande wa mwanaume kama hawana uelewa mzuri.....
Pole sana, hizo ndiyo changamoto za ndoa,,pole sana.
 
Heshimu furaha yako, kuliko kujali sana mali..
But pia natamani ningepata kusikia na upande wa huyo bibie kuwa kakwazwa nanini hadi anakuwa alivyo
 
No way,kwa mlio lelewa kwenye familia za kizungu sawa!
Ila mimi niliye lelewa familia za mlo mmoja tena na mama peke yake,kazi yenyewe amefanya u-house gal,ukondakta full kudhalilishwa afu leo mke wangu awe na maana kuliko mama?

Nihukumiwe kwa hilo,ila mke ntapata mwingine na sio mzazi alo nipigania toka navaa nguo moja mwaka mzima hadi leo nilipo!

Uzungu huu ndo unafanya mnaoa wake zenu wana waambia wazazi kitu cha mwisho,tuangalie maisha yetu mnakubali na kuwatosa wazazi wakiwa na shida,but for me......never,my mama is every thing to me!

Na hata kama ndugu, mzazi amekosa suluhisho sio kuwafanya wasikanyage kwa ndugu/mtoto wao mnaweza mkakaa kama familia mkalizungumza hilo. Sasa mkikasirikiana mazima siku huyo mtoto wao kaumwa kafa utamzika wewe mwenyewe bila uwepo wa familia yake?

Na kama kuna matatizo huyo dada/mke ameshindwa kumueleza mumewe matokeo yake anamwambia mume sio lazima kuishi na wewe? Mume akishikwa na hasira akamuacha kweli utaanza walaumu ndugu wa mume? yeye kama mke amefanya jitihada gani kutetea ndoa yake?

wewe umeudhiwa na ndugu badala ya kumwambia mume mtafute suluhisho unamjia juu hiyo nayo akili au matope? Wadada wenzangu wa JF hasa mabinti si wengine tushajizeekea thread kama hizi msiwe mnazichukulia juu juu hizi ndio kitchen party zenyewe zinakujia ofisini bila gharama ya ukumbi wala nini. Mkitokea mkaolewa msifanye mizaha kama hii kwenye ndoa zenu.

MUNGU IBARIKI JF, MUNGU WABARIKI GELOS WANAOINGIA JF PAKAWE NI MAHALA PA KUJIFUNZIA JINSI YA KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA WAUME/WENZI WAO

NOTE:
Mwanamke ndiye anaweza kuharibu au kudumisha ndoa yake tena kwa mikono yake mwenyewe
 
Nimevutiwa zaidi na statement ya mwisho,tatizo la wadada wengi wanaongea mnooo,na hii haki sawa mh,..tukichelewa kuoa tunaambiwa ooh labda ana matatizo,tukiwahi kuoa ndo vilio kama hivi
 
Nimevutiwa zaidi na statement ya mwisho,tatizo la wadada wengi wanaongea mnooo,na hii haki sawa mh,..tukichelewa kuoa tunaambiwa ooh labda ana matatizo,tukiwahi kuoa ndo vilio kama hivi

Ndio nawaambia wadogo zangu thread zingine wazitumie kama mafunzo si kila kitu unachukulia kama utani tu? hakuna haki sawa jama kila mmoja anamajukumu yake na anatakiwa ayatimize.

Chelewa chelewa kuoa mwaya maana sa nyingine kuoa watoto ndio kwanza wamemaliza shule hajui maisha ni nini nayo kero. Bora usubiri akue kue asote weeeeeeeeeeeeeee mpaka at least awe na 30 hata akiolewa hawezi chezea hiyo ndoa akili itakua ishamkaa sawa.

(Sio wote lakini ni baadhi tu wengine anaweza olewa mdogo na akawa mke mwema tu) Ila wengi wakiolewa mapema bado wanadaidai kwa sana wanakuawaga ma C.R.A.P kwa kufikiri umri umesimama hapo hapo kumbe unasogea
 
No way,kwa mlio lelewa kwenye familia za kizungu sawa!
Ila mimi niliye lelewa familia za mlo mmoja tena na mama peke yake,kazi yenyewe amefanya u-house gal,ukondakta full kudhalilishwa afu leo mke wangu awe na maana kuliko mama?

Nihukumiwe kwa hilo,ila mke ntapata mwingine na sio mzazi alo nipigania toka navaa nguo moja mwaka mzima hadi leo nilipo!

Uzungu huu ndo unafanya mnaoa wake zenu wana waambia wazazi kitu cha mwisho,tuangalie maisha yetu mnakubali na kuwatosa wazazi wakiwa na shida,but for me......never,my mama is every thing to me!

mkeo akigundua kuwa mama yako ni bora kuliko yeye huoni kuwa ndoa itakuwa shakani na lazima wataoneana wivu na kuanza kununiana??
mimi mke wangu ana nafasi ya pakee na mzazi ana nafasi yake nyingine tofauti na sitaki mzazi aniingilie kwenye ndoa yangu kabisa. Kuja wazazi waje kwa miadi sio wanakurupuka na kuja kushinda kwangu. Pia sio lazima wawasiliane na mke wangu kila siku, hawana cha maana cha kufanya? Mie nachukia sana ndugu wanaoingilia uhusiano wa mtoto wao.
 
Na huyo mama awe na nidhamu kwa ndoa yako, sema yote lkn hutaweza kumuoa mama yako, na kama bado hujaweza kutofautisha nafasi ya mama na mke moyoni nakushauri usioe mpaka utakapo jua. Na kama umeoa lazima utakuwa una uhusiano mzuri na mke wako, na je kama huoni tofauti ya mke na mama kwa nini ume/umeoa? Katika vitu naomba nisikutane na mtu asiyejua nafasi ya mke na mama maishani mwake. Hata mm natambua nafasi ya mume na ya baba maishani mwangu, hapana mama yako awezi kuendesha ndoa yako. Hapanaaaa
 
Je inakuwaje mtu kama amefunga ndoa ikatokea mkeo kuondoka na kutoa mimba ya bwana wake na kuamua kukimbia? ndo ya kikatoriki
 
Ni hivi Dada Lizzy,

Hayo hayakuwepo hapo mwanzo, imagine hata mtoto wangu aliishi nami pamoja na yeye na kuanza shule hapa mjini hadi darasa la 3 lkn mwaka huu mie narudi field ananiambia mtoto nimempeleka kijijini coz jeuri nataka akajifunze tabia huko rural. Nina mdogo wangu wa mwisho namsomesha na yupo day school, hawaongei hata akimwamkia hajibu hapo mimi nipo je nikiondoka inakuwaje mpendwa? Yaani baada ya ndoa tu tabia imebadilika sana, na sasa ndo ameajiriwa akitoka asubuhi kurudi jioni akifika tu kulala kisa amechoka, mie ndo niingie jikoni au huyo mdogo wangu. Da lizzy nipe ushauri plse

pole babangu umeuvaa mkenge kama mi niliwahi kuùvaa,ila kama unaamua kubullshit kwa nini mgawane mali hajachuma?we fanya umafia unavunga uko na madeni benki cheza deal na mtu wa benki,piga bei usafiri,nyumba weka pesa akaunti asiijue mwambie umefilisiwa ,kisha hamia uswahilini chumba kimoja ATAKIMBIA MWENYEWE.
Baada ya hapo akiöndoka mdai talaka atakubali faster.ukishakua salama nunua house uanze moja na umtafte demu wa ukweli.
Kwa upande wangu mi niliamua kuishi kama arafat,nakuja oa when i reach 75.
Bye
 
Na huyo mama awe na nidhamu kwa ndoa yako, sema yote lkn hutaweza kumuoa mama yako, na kama bado hujaweza kutofautisha nafasi ya mama na mke moyoni nakushauri usioe mpaka utakapo jua. Na kama umeoa lazima utakuwa una uhusiano mzuri na mke wako, na je kama huoni tofauti ya mke na mama kwa nini ume/umeoa? Katika vitu naomba nisikutane na mtu asiyejua nafasi ya mke na mama maishani mwake. Hata mm natambua nafasi ya mume na ya baba maishani mwangu, hapana mama yako awezi kuendesha ndoa yako. Hapanaaaa[/QUOT

Ukiruhusu mama yako akutawale kwenye ndoa yako au ukimuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi ya mkeo basi umeharibu ndoa yako. Pia wazazi tujifunze kuwapa watoto uhuru pindi wanapoanza maisha yao. Hata kama watazaa baada ya miaka kumi ya ndoa au wasizae, ni makubaliano yao sisi hayatuhusu. Mila na desturi za kiafrica zisivunje ndoa.
 
Na huyo mama awe na nidhamu kwa ndoa yako, sema yote lkn hutaweza kumuoa mama yako, na kama bado hujaweza kutofautisha nafasi ya mama na mke moyoni nakushauri usioe mpaka utakapo jua. Na kama umeoa lazima utakuwa una uhusiano mzuri na mke wako, na je kama huoni tofauti ya mke na mama kwa nini ume/umeoa? Katika vitu naomba nisikutane na mtu asiyejua nafasi ya mke na mama maishani mwake. Hata mm natambua nafasi ya mume na ya baba maishani mwangu, hapana mama yako awezi kuendesha ndoa yako. Hapanaaaa

kinachotakiwa ni mke na mume kukaa na kupanga sheria wazazi/ndugu waje kwa mtindo gani, kugombana na ndugu wa mume wakati mume hayupo halafu akiuliza unamwambia sio lazima kuishi na wewe badala ya kueleza chanzo hiyo ndio nini? Sasa yeye atajuaje kama wewe huna makosa? Maana nduguze akiwauliza wanasema tatizo wewe ukiulizwa unakuja juu na kusema sio lazima kuishi na wewe
 
na hata kama ndugu, mzazi amekosa suluhisho sio kuwafanya wasikanyage kwa ndugu/mtoto wao mnaweza mkakaa kama familia mkalizungumza hilo. Sasa mkikasirikiana mazima siku huyo mtoto wao kaumwa kafa utamzika wewe mwenyewe bila uwepo wa familia yake?

Na kama kuna matatizo huyo dada/mke ameshindwa kumueleza mumewe matokeo yake anamwambia mume sio lazima kuishi na wewe? Mume akishikwa na hasira akamuacha kweli utaanza walaumu ndugu wa mume? Yeye kama mke amefanya jitihada gani kutetea ndoa yake?

Wewe umeudhiwa na ndugu badala ya kumwambia mume mtafute suluhisho unamjia juu hiyo nayo akili au matope? Wadada wenzangu wa jf hasa mabinti si wengine tushajizeekea thread kama hizi msiwe mnazichukulia juu juu hizi ndio kitchen party zenyewe zinakujia ofisini bila gharama ya ukumbi wala nini. Mkitokea mkaolewa msifanye mizaha kama hii kwenye ndoa zenu.

Mungu ibariki jf, mungu wabariki gelos wanaoingia jf pakawe ni mahala pa kujifunzia jinsi ya kuwa na mahusiano mazuri na waume/wenzi wao

note:
Mwanamke ndiye anaweza kuharibu au kudumisha ndoa yake tena kwa mikono yake mwenyewe
ndio nawaambia wadogo zangu thread zingine wazitumie kama mafunzo si kila kitu unachukulia kama utani tu? Hakuna haki sawa jama kila mmoja anamajukumu yake na anatakiwa ayatimize.

Chelewa chelewa kuoa mwaya maana sa nyingine kuoa watoto ndio kwanza wamemaliza shule hajui maisha ni nini nayo kero. Bora usubiri akue kue asote weeeeeeeeeeeeeee mpaka at least awe na 30 hata akiolewa hawezi chezea hiyo ndoa akili itakua ishamkaa sawa.

(sio wote lakini ni baadhi tu wengine anaweza olewa mdogo na akawa mke mwema tu) ila wengi wakiolewa mapema bado wanadaidai kwa sana wanakuawaga ma c.r.a.p kwa kufikiri umri umesimama hapo hapo kumbe unasogea
maty ubarikiwe sana
 
Yani hayo yote ya kutompenda mtoto wako au ndugu zako ndo umeyajua leo au ulikua unayajua tangu mwanzo ukajifanya kichwa ngumu na kumuoa hivyo hivyo????Ukishajibu ushauri utatoka kuendana na tatizo lako!

KWELI AISEE!

Kwa mshauriwa,
Zigo unalo hilo kwa kipindi kirefu kama akili iko kwenye mali.

Hata hivyo una hofu ya bure tu kama unataka kuachana naye.Atapata mgao kufuatana na mchango wake na siyo juvuna pale ambapo hajapanda. Usisahau talaka hutolewa tu baada ya kuwa umesihi naye kwa miaka isiyopungua miwili labda kama una sababu kubwa saaana kama non-consumation of ur marriage ( kitendo cha ndoa hakikufanyika).
 
tatizo kama hili la jamaa mi ilinipata baada tu ya kuoa: lkn mi nilifanya kiakili sana mpaka akaamua kukimbia mwenyewe. tofauti na huyu mi tayari nilzaa naye mtoto mmoja. Nilichofanya niliamua kumfanyia visa mara sirudi nyumbani, mara nafika nyumbani na mwanamke namtambulisha kama rafiki then natoka naye halafu sirudi siku hiyo, akilalamika nakaa kimya simjibu, simgombezi, sikumtukana ila vituko hivi tu vilitosha. Nilifanya hivi kwa miezi miwili tu akachapa lapa mwenyewe, wala mali hatukugawana. Baada ya kujivunza kupitia kwa huyu wa kwanza sasa ni mke anayestahili kweli kuitwa mke na ninaenjoy kweli maisha ya ndoa
Du,we kiboko! Lakini Kwaang kweli kabisa una bahati sana maana wewe na mahawara zako nashangaa hamkumwagiwa upupu au maji ya moto au wewe kuku bobit wakati umelala,walah shukuru Mungu na usirudie tena kufanya mambo hayo kwa uwazi hivyo hata uudhiwe vipi maana kila siku sio jumapili ndugu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom