Yamenikuta leo! Exim bank.

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
Jamani leo nilienda
bank kuweka vijisenti
mbuzi vyangu pale exim tawi la ubungo,
nilipigwa butwaa kukuta account yangu
imefungwa eti ilikuwa
haitumiki wakt mara ya mwisho kuweka
vijisent vyangu ni tarehe 9.01.2012! Pale buguruni,nimeshindwa
kuwaelewa hawa kuchkuch wameniibia
ama wana mpango gan na mie,upuuzi gan huu
majuz nimekuta
wamenikata karibu 8000 ! Na sielewi kwanini zilikatwa,
leo imefungwa kabisa
na sijawah toa hela
kwa muda wa karibia
miez 6 naweka tu..
Hivi naweza ishtaki hii bank? Msaada plz
 
pole sana .. inawezekana kabisa kuishitaki .watanzania sijui kwa nini tunaendekeza uzembe makazini au tuuite wizi sijui
 
Terms and conditions unazifahamu lakini au uli-sign tu? unasema hujawahi withdraw kwa miezi 6 labda ndio tatizo
 
Hujamsaidia katika tatizo alilonalo.

Wataalamu watakusaidia soon.

Mkuu,
Hapa wenye majibu sahihi ni Exim Bank, sisi wengine tunabahatisha tu! Kwa mfano CRDB wanakata TSh 5,000 kwa mwaka ili kulipia ATM Card! Probably Exim wanakata 8,000! Hilo la kufungiwa labda wamepokea ripoti mbaya kuhusu hiyo account! Anyway, kama nilivyosema, hakuna "mtaalam" atakayekuwa na majibu sahihi kuipita Benki ya Exim!
 
pole sana .. Inawezekana kabisa kuishitaki .watanzania sijui kwa nini tunaendekeza uzembe makazini au tuuite wizi sijui

ajabu sasa hao customer care
eti na wao hawajui kwanini akaunt imefungwa
nilichukia sana, nikaja
home kulala tangu sa 6 ndo naamka sa hizi
akili kidogo imepunguza
maumiv nasubiri j3,
ntahamisha vijisenti vyangu bora nivitie
kwenye kibubu! Yaani imenibidi ile senti niitupie hapo m pesa mpaka j3
maana kwa hasira zile
karibu niingie makalio bar nkazigide
 
hujamsaidia katika tatizo alilonalo.

Wataalamu watakusaidia soon.

thanks nasubiri
wamenistress vibaya
sana leo! Nikatumia
gharama ambazo hazkustahili, halaf majibu ya customer care hata mtoto wa shule ya kata ana nafuu,fools
 
terms and conditions unazifahamu lakini au uli-sign tu? Unasema hujawahi withdraw kwa miezi 6 labda ndio tatizo

ni wajibu wao kunialart
na kunijuza hizo terms zao ukifika pale lets say ni mtu wa elim ta kawaida tu unakuta liform limeandikwa madubwana ya ajabu ajabu, unaambiwa ucopy na kupaste yes no na blablabla,,kama umekusanya hela zako za viazi mbatata huko unajiwekea tu mwisho wa siku ndo ujinga huu!
Kwan sim email na adress zetu wanachukuaga za nini?kwaninihawakuninotfy?
 
nenda moja kwa head office, matawini watakuyeyusha aisee

aisee wale jamaa wa customer care pale ubungo hawajielewi!
Mara ya kwanza nilikatwa hela nikauliza why wakanambia hata wao hawajui!
Leo nauliza wananambia
labda haikatumika
bahati nzuri nlikuwa na zile slip ninazowekeaga hela
walipoziona wakaanza kujiumauma!
Ratiba yangu kazini ni tight kinoma
af afya yangu hairuhusu
kuhangaishwa na ndo mana nimefikiria kwanini bank kama hii isishtakiwe! Pambav zao
 
ni wajibu wao kunialartna kunijuza hizo terms zao ukifika pale lets say ni mtu wa elim ta kawaida tu unakuta liform limeandikwa madubwana ya ajabu ajabu, unaambiwa ucopy na kupaste yes no na blablabla,,kama umekusanya hela zako za viazi mbatata huko unajiwekea tu mwisho wa siku ndo ujinga huu!Kwan sim email na adress zetu wanachukuaga za nini?kwaninihawakuninotfy?
Kweli aisee..Exim kipindi kile walikuwa wanasema ili ujiunge lazima uwe mfanyakazi au mwanafunzi (kama sio mhindii nafkiri), nenda exim tower watakusaidia ila fidia ya usumbufu inji hii sijuii..
 
Kama utakua deposit slips itasaidia sana hiyo j3 utakapoenda kuwaona. Pia kama slip zao zinaonyesha balance itakua mswano zaidi au any document kama statement nk itakusaidia kuwa na grounds za kuwabana vinginevyo wasijekua wamechakachua si unajua maadili ya kazi vijana wa leo yamepungua sana, tamaa ya maisha kijana akipata ajira tu, tena benki atataka asafishe nyota kuwa mambo swafi, usijekuta wameona hujaigusagusa wakahisi ni muhanga wa mafuriko wameenda kuvuta Opal. Pole dear!
 
Opal wkt mwenyewe soli za viatu zimeisha
upande!
Ntaenda lakini nisipopewa maelezo ya kutosha nahamishia
hela zangu kwenye kibubu!yaani hela yangu naipata kwa tabu af inletee shida
aghrrrrr
 
pole, nilikuwa na mpango wa kwenda kufungua akaunti hapo nimeahirisha. Acha hela zangu ziendelee kukaa chini ya godoro,hakuna withdrawal charges!
 
Mimi naona ni uwizi huo wa mchana pili, they real donno what they're doing. Ukiwa na tatizo kama hilo normally you should refer to your branch then if not you can take the issue up. Usinyamaze bwana, its shame customer service they do no have answer for this, just guess work!
 
mimi naona ni uwizi huo wa mchana pili, they real donno what they're doing. Ukiwa na tatizo kama hilo normally you should refer to your branch then if not you can take the issue up. Usinyamaze bwana, its shame customer service they do no have answer for this, just guess work!

ninyamazee wakati
that account is my life! Sina nyngne nilishidwa kufwatilia
jana sbb nilifika pale ubungo mida ya sa 5 na since ilikuwa j.mos
sa 6 wanafunga, j4
nadhani watanipa na lunch palepale
 
Huduma za bank Tanzania bado mbovu sana, najisikia afadhali kidogo kwa sasa nimehamia FNB nimefurahiwa na huduma zao, CRDB walishanikorofisha na ushamba wao. Customer care za Bank ni bure tu ni wapumbavu hawana majibu ya kutosheleza wapo wapo tu halafu wajeuri utafikiri hiyo huduma wamelazimishwa na hawalipwi, kumbe wanalipwa. Ushauri wangu mkuu ni bora hangaika na hakikisha unapate hivyo vijisenti vyako na ukivipata tu toa vyote na funga account katafute bank unayoona huduma zao ni nzuri, achana na hizo Bank uchwara.
 
Back
Top Bottom