Mara nyingi inakuwa hivyo..wanaume mmezidi kudanganya kina dada..alitaka aone pumzi zako..
Kosa kubwa ..huna msimamo
First choice is always right
Nadhani alikuonea huruma..ningekuwa mimi ningekupiga kiibuti kwa kosa la kutokuwa na msimamo..
Hayo ni mawazo yako na wala si yake.. ulitakiwa kujua hilo..
Siyo mingi ati..watu tulifukuza swala miaka.
.. Ulifanya vizuri.. ni tabia mbaya kuhisi jambo usilojijua..
Kipindi cha mpito na kusaga meno..lakini kipindi kizuri cha kujua pumba na mchele
Tafuta ukweli toka kwake.. Keep it at low profile..inawezekana ni wako..lakini pia inawezekana sio wako..usichukue jazba..wanawake wako makini na wanajua wanafanya nini..Kama ameamua anakupiga kibuti basi atakwambia ila fanya kila njia muweke kwenye kona akuambie ukweli na ufunge kitabu ...ukiwa na jazba hatokwambia kama anataka kula hela zako..hatokwambia..yaani atakula hela zako na siku moja atakupiga kibuti..
Tumia busara upate jibu la ndio au hapana yaani kibuti ili kuokoa hela zako..usilazimishe penzi..lakini tafuta ukweli..labda bado anakupenda..