Yaliyotokea Kwa Silinde Ni noma sana

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Ni juzi tu nimepita hapo Tunduma Jimbo la ndugu yangu Silinde.
Nilipokuwa hapo kutoka nchi Jirani nikakaa pale mtaani kwetu kwa muda theni nikaendelea na Safari yangu.

Nilisikia kwamba pale Tunduma kuna jamaa alikua anabadilisha watu kuwa N`gome na kisha kuwapeleka Machinjioni baada ya Siku tatu.

Game yenyewe inasemekana ilikuwa inafanyika hivi,

Jamaaa alikuwa anadondosha elfu kumi za noti,
Ukiokota tu,
Unabadilika na kuwa n`gome na baadae kutoweka katika hali isiyo ya kawaida!.

Nilijaribu kuwa mkaidi sana ila baadae tena nipo kanisani nikasikia story hiyo hiyo. then nikasema huenda ikawa kweli.

Ila huyo jamaa inasemekana kakamatwa na polisi.
 
Acha kuamini mambo ya kusadikika
 
Back
Top Bottom