Yaliyotokea goms yalipangwa ndo maana wao(wanajeshi) hawajafa

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
51
Mabomu goms yalipangwa
Kuna nyeti (msiniulize source) kwamba mabomu yaliyolipuka ilikuwa planned! Inasemekana kwamba baada ya ile ripoti ya mbagala, ilionekana kuna mabomu mengi yako pale lugalo ambayo yalikuwa yanakaribia kulipuka. Hivyo yalihamishiwa gongolamboto na kuwekwa kwenye underground storage.
Kilichokuwa kinafuata ilikuwa ni kutafuta namna ya kuya detonate ambapo wanasema gharama ya kuyalipua (utaalamu) ni kubwa mno. Inavyosemekana ni kwamba hiyo underground storage ina system fulani ya vents(fan) zinazoendeshwa na umeme. Sasa nasikia tangu majuzi umeme ulikatika Goms ni hivyo kusababisha joto kali liliyofanya hayo mabomu kuonyesha dalili ya kulipuka.
Habari hiyo inaongeza kuwa kuna kikosi maalumu kilikwenda kutaka kuyachambua yaliyokuwa na dalili za kulipuka lakini muda ulikuwa umewatupa mkono. Kwa hiyo kuna uwezekano wajeshi wengi tuu wamekufa. Kama mtakumbuka, leo mkwere alikwenda eneo la tukio kwa sababu alikuwa na uhakika wa usalama kwamba hakuna yaliyosalia. Na kama wale walioshuhudia jana yalipokuwa yanalipukaan yalikuwa yanaelekea pande mbili yaani kisarawe na uelekeo wa baharini.
Kwa hiyo wana jf ukweli ni kwamba hii ishu imetokea ni kwa sababu ya uzembe uliokidhiri kwa sababu kama walijua yanalipuka muda si mrefu yangehamishiwa kambi za mbali badala ya kuyahamishia goms.
Nawasilisha
 
mmmmh mimi mtazamo wangu unakuwa tofauti maana haya mambo yameriporiwa kwa issue za kisiasa kuficha mambo fulani
yapotee vichwani mwa watu sasa hivi kitakachokuwa kinaongelewa ni mabomu mabomu

Mkwere hana tatizo nimesikiliza hotuba yake leo Asubuhi anakunua meno na kumsifia mwamunyange na mwinyi:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Kuna mgogoro mkubwa kati ya wanajeshi na wakuu wanchi, subirini kuna jingine kubwa zaidi linakuja kama hawatamaliza hiyo tofauti.
 
wanakufaga wengi tu ila inatangazwa wamekufa wawili au watatu na maiti zao husafirishwa usiku.Niliambiwa na mjeshi wa pale mbagala yaan nilibaki na masikitiko kwa nini wasiweke hili hadharani.
 
Tatizo viongozi hawawajibiki, pili sisi kama watz tunahitaji viongozi wawajibike tu
 
na jk alipewa taarifa na alitakiwa kusaini yahalibiwe lakini hakufanya hivyo.... hotuba yake ya usiku wa manane kwa taifa kuna azimio moja la kumpa pole mwamunyange....!!!!

ni uzembe uliokithiri mkubwa sana
 
"If there is a possibility of several things going wrong, the one that will cause the most damage will be the FIRST to go wrong"
 
..tupe source tafadhali...
Hata ukipewa habari za kiinteligensia unataka upewe na source!wewe umepewa habari kama utaiamini au kutoiamini hilo ni juu yako na hasa ukizingatia mtoa hoja aliomba source iwe anonymity mapema kabisa!!
 
kuna barua ilipelekwa kwa jk ili asaini na hayo mabomu yahalibiwe lakini hakufany hivyo............badala yake alienda tanga kula maulid
kwa hiyo juu ya hili kikwete anahusika kabisa na ndio maana jana alipokuwa kule g'mboto anapewa taarifa kuna wanajeshi walikuwa wanamwangalia jk kwa jicho la ndege........
 
Nakubaliaana na mtoa hoja kwa njia moja au nyingine,lakini naomba nisahihishe kuwa ilipangwa ukisoma maelezo yake hakuna sehemu inaonesha ulipangwa,ila inaonesha ni uzembe tena lipo wazi.Baadhi ya vyombo vya habari vimelipoti kuwa joto kali ndio chanzo.Sidhani kama siasa zinaweza kuwa zimehusika maana wapo wanachama wa vyama tofauti na wasio na vyama wamepoteza maisha.
 
kuna barua ilipelekwa kwa jk ili asaini na hayo mabomu yahalibiwe lakini hakufany hivyo............badala yake alienda tanga kula maulid
kwa hiyo juu ya hili kikwete anahusika kabisa na ndio maana jana alipokuwa kule g'mboto anapewa taarifa kuna wanajeshi walikuwa wanamwangalia jk kwa jicho la ndege........

Ulichoandika hapo ni kitu kizito sana,unafahamu lakini?una-source ya kuaminika juu ya hilo..kama huna please usifanye hivyo next time.
 
kuna barua ilipelekwa kwa jk ili asaini na hayo mabomu yahalibiwe lakini hakufany hivyo............badala yake alienda tanga kula maulid
kwa hiyo juu ya hili kikwete anahusika kabisa na ndio maana jana alipokuwa kule g'mboto anapewa taarifa kuna wanajeshi walikuwa wanamwangalia jk kwa jicho la ndege........

Duh!jamani mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni!mkuu naona hii hainiingii akilini hata kidogo!!
 
Mabomu goms yalipangwa
Kuna nyeti (msiniulize source) kwamba mabomu yaliyolipuka ilikuwa planned! Inasemekana kwamba baada ya ile ripoti ya mbagala, ilionekana kuna mabomu mengi yako pale lugalo ambayo yalikuwa yanakaribia kulipuka. Hivyo yalihamishiwa gongolamboto na kuwekwa kwenye underground storage.
Kilichokuwa kinafuata ilikuwa ni kutafuta namna ya kuya detonate ambapo wanasema gharama ya kuyalipua (utaalamu) ni kubwa mno. Inavyosemekana ni kwamba hiyo underground storage ina system fulani ya vents(fan) zinazoendeshwa na umeme. Sasa nasikia tangu majuzi umeme ulikatika Goms ni hivyo kusababisha joto kali liliyofanya hayo mabomu kuonyesha dalili ya kulipuka.
Habari hiyo inaongeza kuwa kuna kikosi maalumu kilikwenda kutaka kuyachambua yaliyokuwa na dalili za kulipuka lakini muda ulikuwa umewatupa mkono. Kwa hiyo kuna uwezekano wajeshi wengi tuu wamekufa. Kama mtakumbuka, leo mkwere alikwenda eneo la tukio kwa sababu alikuwa na uhakika wa usalama kwamba hakuna yaliyosalia. Na kama wale walioshuhudia jana yalipokuwa yanalipukaan yalikuwa yanaelekea pande mbili yaani kisarawe na uelekeo wa baharini.
Kwa hiyo wana jf ukweli ni kwamba hii ishu imetokea ni kwa sababu ya uzembe uliokidhiri kwa sababu kama walijua yanalipuka muda si mrefu yangehamishiwa kambi za mbali badala ya kuyahamishia goms.
Nawasilisha

Mkuu heading yako sijaielewa inaendana vp na content ya article yako.ulivyoandika (heading) ni kuwa kulipuka kwa mabomu kulipangwa,lakini unaeleza tena kwamba kuna wanajeshi walikwenda kuyachambua lakini muda ulikuwa umewatupa mkono.sasa kama walipanga yalipuke ya nini tena kwenda kuyachambua?na kama walipanga yalipuke how comes tena wanajeshi wenyewe waendelee kushangaa eneo la tukio mpaka wafe?
Aaah Mkuu hapo embu nyosha statements zako bwana!
 
Mabomu goms yalipangwa
Kuna nyeti (msiniulize source) kwamba mabomu yaliyolipuka ilikuwa planned! Inasemekana kwamba baada ya ile ripoti ya mbagala, ilionekana kuna mabomu mengi yako pale lugalo ambayo yalikuwa yanakaribia kulipuka. Hivyo yalihamishiwa gongolamboto na kuwekwa kwenye underground storage.
Kilichokuwa kinafuata ilikuwa ni kutafuta namna ya kuya detonate ambapo wanasema gharama ya kuyalipua (utaalamu) ni kubwa mno. Inavyosemekana ni kwamba hiyo underground storage ina system fulani ya vents(fan) zinazoendeshwa na umeme. Sasa nasikia tangu majuzi umeme ulikatika Goms ni hivyo kusababisha joto kali liliyofanya hayo mabomu kuonyesha dalili ya kulipuka.
Habari hiyo inaongeza kuwa kuna kikosi maalumu kilikwenda kutaka kuyachambua yaliyokuwa na dalili za kulipuka lakini muda ulikuwa umewatupa mkono. Kwa hiyo kuna uwezekano wajeshi wengi tuu wamekufa. Kama mtakumbuka, leo mkwere alikwenda eneo la tukio kwa sababu alikuwa na uhakika wa usalama kwamba hakuna yaliyosalia. Na kama wale walioshuhudia jana yalipokuwa yanalipukaan yalikuwa yanaelekea pande mbili yaani kisarawe na uelekeo wa baharini.
Kwa hiyo wana jf ukweli ni kwamba hii ishu imetokea ni kwa sababu ya uzembe uliokidhiri kwa sababu kama walijua yanalipuka muda si mrefu yangehamishiwa kambi za mbali badala ya kuyahamishia goms.
Nawasilisha
Sasa mbona tunachanganyana vichwa? Soma tena title yako, chief
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom