Yaliyotokea arusha, r.i.p freedom fighters...

Inauma,machoz yanitiririka R.I.P. Kuna raha gan hapa! Ujinga wa CCM kukataa kujadiliana na CDM kuhusu umeya!
 
Belive you me waliokufa Arusha kwa kupigwa risasi na polisi ni zaidi ya wawili.
 
inasikitisha saana kwa vifo vilivyotokea na majeruhi wengi hao, kwa upande wangu nalaumu polisi na chadema wote naona wanamakosa

1. Polisi wametumia nguvu ya ziada ambapo wangeweza kutumia njia nyingine za kutawanya maandamano

2. Chadema kama IGP alikataza maandamano kulikuwa hamna sababu ya kuyafanya kwani naamini kila kitu kingezungumzwa kwenye mkutano mana uliruhusiwa na ujumbe ungefika dunia nzima kama ambavyo chadema walifanya mkutano mwembeyanga 2007 na kutaja majina ya mafisadi bila maandamo. ujumbe ulifika vizuri sana kwa walengwa wote tanzania na nje ya tz matunda yake yameonekana kwenye uchaguzi wa 2010
 
R.I.P mwanaharakati mwenzangu. May God feed you honey. Hatujakataa tamaa tunaendelea na harakati daima. Amen
 
poleni sana Arusha,yote mwachieni Mungu atahukumu!


tusimzulie mungu, hili mungu anataka tulishughulikie wenyewe na njia bora ni kuwaua tu hao polisi na kwa kuanza kula nao kiduku waliohusika kwa tunaowajua na kuhakikisha polisi hana amani tanzania hata kwa wiki mbili . hawa washenzi lazima tuwaadhibu
 
Kikwete Endelea Kula Kuku kamanda, sikutofautishi na Jambazi mwingine yeyote, ninachoweza kusema ninawaombea Mungu awabadilishe kama alivyo mbadilisha SAuli Mpinga Kristo na kuwa Paulo wa Leo. Matendo 9:1-22.

Ni kweli Mungu anampango na Tanzania, na pia ujue kuwa amani haiji ila kwa ncha ya upanga.

Tunawaombea Marehemu hawa Mungu awaweke pema peponi, roho wa marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani Amina!


kWENYE RED HAPO KAKA NAONGEZEA "You do not realize that it is better for you that one man die for the people than that the whole nation perish" (John 11:50)
 
avatar9303_1.gif

ama kweli inasikitisha sana hali hii.
 
Can someone please supply me with the names, age, gender of the people who were killed by the police in Arusha?

IGP Mwema, kwa mujibu wa taarifa za kiintelegensia, ni nani aliyemuua huyu mtanzania? Utueleze tu taratibu tutaelewa. Ni nani na kwa nini? Mtanzania huyu alikuwa tishio kwa amani ya eneo alilokuwepo? Ki vipi? Alikuwa na silaha? Askari aliyempiga risasi alikuwa umbali gani? Kama alishindwa kumdhibiti hakuweza kumpiga risasi ya mguu? Kumpiga risasi mtu kifuani, ambaye hakuwa na silaha ni mauaji. Aliyefanya hivyo anapaswa kushtakiwa kwa mauaji ya makusudi.
...Arusha regional chief physician, Salash Toure, confirmed that a third person Ismail Omary died while undergoing treatment at the Mount Meru Regional Hospital, bringing the number of those who died in the fracas to three.

Arusha Regional Police Commander Thobias Andengenye had earlier named two people who died in the clashes as Denis Michael and George Waitara.

He said police investigations show that Michael was stabbed with a sharp object, while George Waitara was shot dead by unknown people. Both died on arrival at the Mount Meru Regional Hospital for treatment.

SOURCE: :: IPPMEDIA
 
Unajua hii picha huyu kijana alipigwa risasi na mwenye Bar huko Ilala Bungoni Bar inaitwa Miami hii sio Arusha

Don Killuminati analete utani sasa!..Hii picha siyio ya Arusha.Si vyema kutumia picha za matukio mengine kuhusisha na Arusha.Hujawatendea haki ndugu na jamaa wa karibu wa ndugu wa marehemu (kwenye picha)!
 
Mungu ndie hakimu wa haki,atawahukumu wote waliohusika na unyama huu,tena kwa adhabu ya hapa hapa duniani wala si akhera.
 
Don Killuminati analete utani sasa!..Hii picha siyio ya Arusha.Si vyema kutumia picha za matukio mengine kuhusisha na Arusha.Hujawatendea haki ndugu na jamaa wa karibu wa ndugu wa marehemu (kwenye picha)!

Labda anaonyesha mfano wa yaliyotokea Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom