Yaliyotokana na Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema

Muundo wa hiyo kamati kuu itafikiri unasoma kamati ya CCM.

Kwanini vyama vya upinzani viige muundo ule ule wa CCM? Ningetegemea hii kamati ingelikuwa na watu wachache sana ambao ndio wangelikuwa vichwa wa CHADEMA.

Mafanikio mema kamati kuu mpya ya CHADEMA.

Mkulima labda watu wanashindwa kuelewa, huo muundo sio tija wala ni kusema wanaiga CCM.

CCM ni kitu kingine kabisa ni systems yenye roots na kuna kautaratibu kanakofanya kazi, pamoja na misukosuko yote ya CCM kwa kipindi hichi cha karibuni chama hicho bado kipo na kina nguvu kw sababu ya hiyo roots ninayoizungumza
NCCR iliyumba kwa anguko kubwa kwa sababu haikuwa na roots, sasa Chadema nadhani ni muda muafaka kutengeneza roots na sio kukopi mambo ya CCM, inabidi chama kiangalie kinahitaji nini na kianze na base hapo, kama chama kimejaa wasomi na maprof kwa nini wanshindwa kutengeneza kitu ambacho sio kama cha CCM, kwani vyama vyote ni lazima viwe na mfumo mmoja wa uongozi?
 
Did I read your name correctly? Yes, indeed! It is Kituko!
 
Tatizo ni shule na sitoacha kulisema hilo. Hukuelewa niliposema kuna "token muslims" sikumaanisha watoke lol.

Kazi kweli kweli

tatizo si shule, tatizo ni kugha. wewe umetumia maneno mawili ya kiingereza katikati ya maelezo marefu ya kiswahili ukiamini ndio usomi, na sasa unataka kutulazimisha tuamini kuwa huwezi kuonekana umeenda shule bila kuchangaya lugha. huo ni utumwa tu. ammka ujikomboe!
 
Willfred Lwakatare, yeye ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Kagera, kwa mujibu wa KAtiba ya CHADEMA toleo la mwaka 2006, Wenyeviti wa Mikoa ni wajumbe wa Baraza Kuu kutokana na nafasi zao hivyo Lwakatare ni mjumbe wa Baraza Kuu sio kweli kama hana nafasi yoyote ndani ya CHADEMA.
 
wale wanaosema chadema ni chama cha wachaga sasa waseme au watajifanya hawaoni?Mi ninaona ipo vyema ila kuna vichwa vingine kama huyo lwakatare ni muhimu kuwepo ndani.Ila kwa kuwa atakuwa mbunge mwakani kwa majaliwa yake muumba,ataingia kwenye kamati automatically na ndio maana nafikiri hakuomba.
 
Lete wana Sisiemu nao tuwaone tujue chama cha undugu ni kipi? maana tumeshaona Chadema safi hakuna Undugu yalikuwa majungu sasa weka ubao vyote ok
 
Viva Chadema we need you to do more changes hakika na kufuta hisia na malalamiko ya kurudisha nyuma maendeleo ya Chama .Kila penye kasoro Zitto, Mbowe , Slaa , safarisha .
 
Hapana shaka kuwa CHADEMA ndio chama kinasosumbua CCM na kuona ndio Tishio lao!! Hongera CHADEMA
 
Kitila,

Rafiki yangu na waziri mkuu mtarajiwa wa united republic of Tanzania!!! kwa list ya kamati kuu ninayoiona hapo, kwa ukubwa wake na wajumbe wake!!! sikufagilii kukaa kwenye hiyo kamati...

Simply you won't deliver what we expect, not b'se you are not able... only b'se you are in the wrong place.

If you won't understand me today, you will understand me years to come... once again do not undermine and compromise your capability... what you need is to stay as a normal member... gombea ubunge nenda mbele...

Thats all I can say....
 
Hongera Kitila mkuu wangu .Najua umeingia kwenye kundi la lawama , Chadema ikizama tutasema Kitila , Zitto , Mnyika nyie vijana inakuwaje .Lakini nasema bakieni humo simamieni mnayo yaamini nasi tutawaunga mkono . Hakuna cha wrong place and what is the right place to be ? Chadema malaika haitapatikana ial Chadema inawezekana kwa kutoa michanhgo endelevu na kuisaidia Chadema kusonga mbele .

Tundu Lisu , Kitila mgombee tutatoa michango yetu kuwasaidia .Zitto go Mnyima go tutasimama kusaidia tuwezapo .
 
Kitila,

Rafiki yangu na waziri mkuu mtarajiwa wa united republic of Tanzania!!! kwa list ya kamati kuu ninayoiona hapo, kwa ukubwa wake na wajumbe wake!!! sikufagilii kukaa kwenye hiyo kamati...

Simply you won't deliver what we expect, not b'se you are not able... only b'se you are in the wrong place.

If you won't understand me today, you will understand me years to come... once again do not undermine and compromise your capability... what you need is to stay as a normal customer... gombea ubunge nenda mbele...

Thats all I can say....

One struggle, many fronts.. . In Tanzania politics are played through political parties, implying that political parties are inevitable tools for bringing about political emancipation and change. In Tanzania, hitherto, CHADEMA is the most ideal and best political party poised to lead the change that millions of Tanzania have been dreaming for decades. We're determined to deliver and we shall deliver, especially with your support, morally and otherwise.

I am very comfortable and exceedingly proud being a member of this unique party that has come about at a very unique and momentous time.

Kasheshe, jiunge na mapambana, twende. Tuma neno CHADEMA kwenda 15710 ili kushiriki katika mapambana.
 
Hapana shaka kuwa CHADEMA ndio chama kinasosumbua CCM na kuona ndio Tishio lao!! Hongera CHADEMA

Josh Michael

Chukua Tano.
Nashukuru kwa kulitambua hili.CHADEMA ni chama tishio kwa CCM na ndio maana wanafanya kila mbinu ili kuhakikisha chama hiki kinarudi nyuma lakini CCM hawaiwezi CHADEMA ng'o. CHADEMA ni Tumaini Jipya la Watanzania. Viva Forever CHADEMA
 
Mna vijiji vingapi kwa kila mkoa? matokeo ya uchaguzi

Ongezeko ni asilimia ngapi kwa kila mkoa? na mmefikia malengo yenu au mko chini ya lengo? au hamkuwa na malengo yeyote?

Mmekuwa nafasi ya ngapi? na kiasi gani cha resources (money, muda na watu) mmefikia malengo yenu hayo?

Yaani hii taarifa yenu nikianza kuichambua kuna maswali mengi hamkuyajibu ambayo umma unataka kufahamu..kweli nyie bado kabisa? long way to go? kwa aina ya uongozi huu...

Kwa ufupi taarifa haijakamilika..
 
You should invest more efforts on building CUF instead of mobiizing a personal rage against CHADEMA. Understand that by building [your] CUF you stand a chance of gaining wisdom that what you currently purport.
 
Mna vijiji vingapi kwa kila mkoa? matokeo ya uchaguzi

Ongezeko ni asilimia ngapi kwa kila mkoa? na mmefikia malengo yenu au mko chini ya lengo? au hamkuwa na malengo yeyote?

Mmekuwa nafasi ya ngapi? na kiasi gani cha resources (money, muda na watu) mmefikia malengo yenu hayo?

Yaani hii taarifa yenu nikianza kuichambua kuna maswali mengi hamkuyajibu ambayo umma unataka kufahamu..kweli nyie bado kabisa? long way to go? kwa aina ya uongozi huu...

Kwa ufupi taarifa haijakamilika..

Wewe unataka kuja ya nini?ya kwano unayajua?wenzako tayari wanafahamu kwa kina hizo hoja unazozisema wewe.....Kama taarifa haijakamilika ongeza basi ya kwako.
 
Kama walioorodheshwa na kuandikwa kwa wino mwekundu, inamaanisha ni Wakristo, kuna kosa moja. Bob Nyanga Makani sio Mkristo. Yeye ni Mwislamu wa Shinyanga. Sina hakika, lakini huenda Msafiri Ntemelwa akawa ni Mwislamu pia.

Hata hivyo Chadema sio chama kinachojali Dini. Labda JF waorodheshe viongozi wa CUF pia na kuonyesha dini zao.
 
Back
Top Bottom