Yaliyopata kunenwa na Rev. Chris Mtikila (mwananchi, 27 may 2010)

ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,964
174
Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).”
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.

“Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).

Haya yote hayana uhusiano na hiki tunachokiona na kukisika sasa hivi?
 
Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari)."
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.

"Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).

Haya yote hayana uhusiano na hiki tunachokiona na kukisika sasa hivi?

Kweli JK amekosa propagandist, kwa sababu kama nawe umeajiliwa kwa ajili hiyo basi ni kijiwe cha wahuni....ndo umeandika nini hapa?
 
Mwaka jana aliwahi hojiwa na George Njogopa - Clouds akasema, "nikitangazwa Rais kuna watu watalala mipakani Rombo, Sirari etc maana wanajua kiama chama kimefika".. Huyu mtanganyika yuko makini sana na ana mchqngo mkubwa sana ktk maendeleo ya sheria za nchi hii - sijui kama Mahakama na Wizara husika ya Sheria walishajiulizaga, na angalau wamtunze kidogo kwa mchango huo!
 
Hakuna kichwa wala miguu....kakae kijiweni km wenzako unywe kahawas ubiri huruma za kikwete
 
Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).”
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.

“Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).

Haya yote hayana uhusiano na hiki tunachokiona na kukisika sasa hivi?

crap!!
 
Huu ulikuwa ni mkutano wa JUKWAA LA WAKRISTO uliofanyika taraehe tajwa hapo juu. Katika mkutano huo mtikila aligawa waraka wenye kurasa 60 ambao maaskofu na wachungaji/mapadre waliugombania.
Wala msipate shida ingine kwenye google tu na andika mwananchi, mtikila, jukwaa la wakristo yote haya utayaona.
swali langu je huu tunaoelezwa kuwa udini hauna uhusiano na huu mkutano? au hamjaelewa nini wakuu? Asante.
HAYO NI MANENO YA MTIKILA KWAHIYO HASIRA ZENU PELEKENI KWAKE NI KWANGU.
 
Ccm mbona mlitwambia cuf ni chama cha kidini kipuuzwe leo mnasema chadema ni wadini wapuuzwe je ccm ninyi ni dini gani?
 
Ipo ile kumbukumbu ya Visu na majambia yaliyosemekana ni ya CUF. Sijui yalipelekwa wapi! Ujinga mtupu ktk utendaji wa serikali. Serikali gani inayoweza kuendelea na watendaji wa aina hiyo. Na tena ni wengiiiii!!!
 
Back
Top Bottom