Yaliyonikuta leo guest house.

member, junior member, senior member, senior expert member, premium member
 
naomba niulize.... je wewe ni mwanaume wake wa kwanza?

usikimbilie kumuhukumu kama wewe si mpz wake wa kwanza ina maana kabla yako alikua na mtu, kuna wengine kwenye mapenzi ni watundu wa-style mpya mpaka condom tofauti tofauti kujua, pili huyo dada amekua muwazi kwako kukueleza anapenda kutumia aina gani.
tatu si lazima awe ametumia matangazo ya condom mbalimbali yanaonekana hata ukienda pharmc kununua condom utaona aina mbalimbali,

HUJAMTENDEA HAKI HUYO DADA:disapointed:
 
tatizo la watu wasiojiamini wanajudge sana wenzao sasa kuulizia kondom kumekufanya usahau yote mazuri juu yake, napenda wanawake wenye confidence kama huyo na ungechemsha na condom yako ya cheap angekwambia kabisa leo hatujapanda milima macho makavuuuu ungeweza mshitaki kwa mjumbe
 
we bwana kujua aina tofauti za kondomu nayo ni umalaya!.......acha kumtafutia dada wa watu sababu.
 
we bwana kujua aina tofauti za kondomu nayo ni umalaya!.......acha kumtafutia dada wa watu sababu.
Nakuunga mkono, jamani mbona kuna matangazo ya cccccondoms ktk magazeti,redio,Tv nk
 
Wakuu heshima mbele,
Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa kumwingiza katika mitengo yangu na akanasa.
Yaaliyotokea: Tukiwa guest sita kwa sita nilichomoa condom toka kwa suruali yangu, cha ajabu yule binti baada ya kuiona tu ile packet ya condom alianza kulalamika kuwa aipendi ile aina ya condom na kuanza kunitajia majina kama 10 ya aina za condom alizowahi kuzitumia.
Nilishikwa na gamzi ya ghafla,mwili mzima ukawa unatoka jasho kwani kwa hisia zangu ni kwamba kama anajua majina mengi ya condom vile basi watu wengi sana watakuwa wamepita kwake.
Swali, Je umewahi kukutana na msichana/mvulana wa namna hiyo?.
Je kujua majina mengi/kutumia aina nyingi za condom ni ishara kuwa wewe ni malaya?.

Pamoja wana-Great thinkers.
...unakuta mtu una nyonya brookside and tiita then u climb mdame with makobosto....mtakufa na ngwengwe vijana
 
Ningekua mimi ningegonga kavu kwani yaonekana binti ni mtumiaji mzuri wa kinga hivyo yu salama, kwa hiyo ningegonga kavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom