Yaliyonikuta leo guest house.

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Wakuu heshima mbele,
Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa kumwingiza katika mitengo yangu na akanasa.
Yaaliyotokea: Tukiwa guest sita kwa sita nilichomoa condom toka kwa suruali yangu, cha ajabu yule binti baada ya kuiona tu ile packet ya condom alianza kulalamika kuwa aipendi ile aina ya condom na kuanza kunitajia majina kama 10 ya aina za condom alizowahi kuzitumia.
Nilishikwa na gamzi ya ghafla,mwili mzima ukawa unatoka jasho kwani kwa hisia zangu ni kwamba kama anajua majina mengi ya condom vile basi watu wengi sana watakuwa wamepita kwake.
Swali, Je umewahi kukutana na msichana/mvulana wa namna hiyo?.
Je kujua majina mengi/kutumia aina nyingi za condom ni ishara kuwa wewe ni malaya?.

Pamoja wana-Great thinkers.
 
Mkuu pole, naona hapo hata uume ulishindwa kusimama, kawaida lakini anaonyesha anajali
 
ha,ha,ha,haaa hapana kaka kujua majina meng ya condom sio kama wewe au yeye ni mtu wa kuchakachua sana inawezekana ameyajua kupitia matangazo au kuona kwny maduka ya dawa n.k. Hvyo ilibidi umuulize taratibu wakat unajilia mzigo wako amejuaje? Hongera kwa kuchakachua leo
 
Ebwn kw upande wng mi coni kama suala la kujua kondom ni ishara ya umalaya, condom zinauzwa popote, so usijali huenda aliwahi kusikia kuwa kuna aina ya kondom fulani ni nzuri, na yeye akaamua ku-apply hiyo concept.

Kaka usijali, hiyo kitu ulitakiwa ule bila wasiwasi.
 
si afadhali huyo anajua aina za condoms, mwingine angekuambia mie guest hii siiendi sababu kila siku mshuka meupe tuu twende sinza kule kila mkitoka wanabadirisha mashuka na maji ya moto wanaweka............kazi ni kwako!!!
 
Maskini! Ukaona umejitaidi mwenyewe. Pole sana.

Mkuu yataka ujasiri sana, kwa kuwa ni mara ya kwanza nilistuka sana ila ukubwa jiwe ilibidi nile kwa umakini sana na nimejiapiza sitorudia tena kwake.
 
Mkuu pole, naona hapo hata uume ulishindwa kusimama, kawaida lakini anaonyesha anajali

Mkuu kuna vitu hata kama unaonyesha unajali sio kiivyo,imagine ingekuwa wewe na hujawahi kusikia kitu kama hicho toka kwa msichana ungejisikiaje?? Ila ukubwa dawa unajikaza kiume na kula mzigo kama kawaida
 
ha,ha,ha,haaa hapana kaka kujua majina meng ya condom sio kama wewe au yeye ni mtu wa kuchakachua sana inawezekana ameyajua kupitia matangazo au kuona kwny maduka ya dawa n.k. Hvyo ilibidi umuulize taratibu wakat unajilia mzigo wako amejuaje? Hongera kwa kuchakachua leo

Dah,umenifumbua macho mkuu,nitajaribu kumwulizia vizuri ili nijue yeye kazijuaje aina hizo za condom. LOL
 
Ebwn kw upande wng mi coni kama suala la kujua kondom ni ishara ya umalaya, condom zinauzwa popote, so usijali huenda aliwahi kusikia kuwa kuna aina ya kondom fulani ni nzuri, na yeye akaamua ku-apply hiyo concept.

Kaka usijali, hiyo kitu ulitakiwa ule bila wasiwasi.

Mkuu, yataka ujasili sana kula hiyo kitu bila wasiwasi ikizingatia ndo kwa mara ya kwnza unasikia. Nway sio mbaya nitajaribu kumchunguza na ninaamini nitapataa majibu toka kwake wapi alijua hayo majina ya condoms
 
si afadhali huyo anajua aina za condoms, mwingine angekuambia mie guest hii siiendi sababu kila siku mshuka meupe tuu twende sinza kule kila mkitoka wanabadirisha mashuka na maji ya moto wanaweka............kazi ni kwako!!!

Hahahaha,mkuu kama ndio mimi lazima nimkimbie kabla hatujafika guest,ningemuacha kona bar baada ya kumdanganya naenda toilet kupiga shortcaller
 
Kujua condom siyo kweli ni mtu wa kuchakachuliwa, haya mimi nakuorodhoreshea baadhi ya majina ya condom hapa chini

  • Salama
  • Dume
  • Rough Rider
  • Kama Sutra na nyingine unazijua mwenyewe.
Siyo haki kumhukumu mtu kutokana na vigezo visivyo na uhakika, kwanza inabidi kumuelewa huyo rafiki yako ni mtu wa aina gani, husianisha na uelewa wake na kujua condom nyingi ni sahihi? Unaweza kupata taabu kumbe kwenye NGO yao hiyo ndiyo kazi inayompa mshahara kwa kuwauliza na kuwaelekeza watu matumizi sahihi ya hiyo kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom