Yaliyomtokea Whitney yasiwatokee kina Lady Jay Dee!

Salaam.

Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama Lady Jay Dee, Mwasiti, Wema, Diamond na Professor Jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya Whitney Houston kuhusu yeye na Michael Jackson alipohojiwa na Oprah Winfrey - na jipange sasa:

Bonyeza Whitney Houston

TULIA. TAFAKARI. CHUKUA HATUA.

Huyu naye huwa anajitakia kwanini asikae na atulie kuliko kila siku kwenda kwenye matalk show na kwenye magazeti?

Mengine ni misongo ya kujitakia tu.

Mie kila nikijaribu kuwaza na kuwazua hivi mpaka unafikia kuharibikiwa kabisa ,
wako wapi watu wa karibu kukusaidia
wako wapi ndugu jamaa marafiki
Wako wapi baba na mama...
lah ...

Hapo sasa, majuzi nimeona gazeti lina kichwa cha habari hiki or something like this: WHITNEY DIES WHILE HELP IS A FEW STEPS AWAY

Kuhusu ndugu, jamaa na marafiki hebu cheki hii: Whitney Houston's Cousin Dionne Warwick Says Singer Seemed Fine Before Death

Na hii: Whitney Houston: Bobbi Kristina Was Protective of Her Mother
 
haya ni maneno ya lad jay dee...huyu dada anaonekana ni mtu kakata tamaa hivi na anavyosakamwa na wajuaji basi anashindwa kuhimili....

SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII

Halafu simulizi kamili ya story nzima kuwa nataka iweje ziko kwenye wimbo wangu mpya
Mpaka kuhusu nani awepo na nani asiwepo na nini kifanyike
Nani achukue nini na nani afanye nini

Stay tuned

source Lady Jay Dee: SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII

Mi nimepata pointi yako..

Wana stress sana,na kkuna wakati wanashindwa kuzimudu... Na pasipo ushauri..
wanaangukia katika vilevi na kuharibikiwa mwishowe...
 
haya ni maneno ya lad jay dee...huyu dada anaonekana ni mtu kakata tamaa hivi na anavyosakamwa na wajuaji basi anashindwa kuhimili....

SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII

Halafu simulizi kamili ya story nzima kuwa nataka iweje ziko kwenye wimbo wangu mpya
Mpaka kuhusu nani awepo na nani asiwepo na nini kifanyike
Nani achukue nini na nani afanye nini

Stay tuned

source Lady Jay Dee: SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII

da nilikuwa sijaiona hii, nadhani sasa watu wataelewa tunamaanisha nini kwenye mada hii!
 
"Hilo ndilo jina la kisanii linalokubalika, mwanamama yuko fiti ila inabidi tumsaidie badala ya kumsakama kama alivyosakamwa Whitney!"

Naomba utueleweshe, nani aliyemsakama Whitney? Hakuna aliyemshawishi kula madawa zaidi ya Bobby na yeye mwenyewe kuhamua. Jay Dee si mbunifu kwani nyimbo zake zote anakopi mapigo ya nchi zingine. Mwambie apige muziki Wa nyumbani then tuta mjudge ana uwezo gani ila ni kosa yeye kufananishwa na Whitney!
 
Jina lake Judith Wambura. Kwanini anajiita Lady Jay Dee? Kwanini asijiite JWTz?
una laaaaaaaaaaaaaaaannnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya Jffffffffffffffffffffffffff kweliiiiiiiiiiiiii umeniacha niache savannah yangu kwenye meza nianze kuzunguka kutafuta choooooooooooooooo maana huyu mungu bwana aaaaaaaaaaaaaaa sijui kwa nini kichekecho sikuzote kinafwataana na mkojo ama haja kubwa
 
Mie kila nikijaribu kuwaza na kuwazua hivi mpaka unafikia kuharibikiwa kabisa ,
wako wapi watu wa karibu kukusaidia
wako wapi ndugu jamaa marafiki
Wako wapi baba na mama...
lah ...

Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea matatizo yote haya yanasababishwa na ubinafsi na upweke. Watu hawana upendo. Wanaona pesa ni kila kitu. Ni familia chache zinazoishi kwa kupendana na kushirikiana. Kwa Tanzania mimi nadhani ni ulimbukeni,ukosefu wa elimu na kuiga ndiyo chanzo cha wasanii wetu kujitumbukiza ktk ulevi wa madawa ya kulevya.
 
Chipukizi nakubaliana nawe. Kwanza wanavyoboa hata wakidedi mie naona bora. Hebu chukulia takataka kama Wema Sepetu. Kuna nini pale zaidi ya aibu tupu? Waangalie hao waigizaji wetu wanaoishi uswekeni wanavyojiona babu kubwa. Kwanini wasiende shule angalau wakajiwekea insurance kwa maisha ya baadaye badala ya ****** na ulimbukeni wao? May they perish. Wakifa cool. Maana hawana mchango wowote zaidi ya vurugu za kijamii.
 
una laaaaaaaaaaaaaaaannnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya Jffffffffffffffffffffffffff kweliiiiiiiiiiiiii umeniacha niache savannah yangu kwenye meza nianze kuzunguka kutafuta choooooooooooooooo maana huyu mungu bwana aaaaaaaaaaaaaaa sijui kwa nini kichekecho sikuzote kinafwataana na mkojo ama haja kubwa

Lol,

Kwikwikwi, wakina Chacha Jeshi la Wananchi (JWtz) ni lao. Na inge-make sense kama Lady Jee-Dee (Judith Wambura) angejiita JWtz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom