Yaliyomkuta LEMA ARUSHA NI DUA ZA TLP NA MAWAZO

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Wengi hapa tz wanadai lema kaachishwa ubunge kwa hila huo ni upande mmoja ni vema tukaangalia na historia ya LEMA katika vyama vya siasa Je alifanya nini TLP mpaka akatoweka na kukimbilia CHADEMA? Kwanza kabisa lema alikuwa mwanachama wa TLP tangu mwaka 2000 ilipofika mwaka 2005 chama cha TLP kikamteua kugombea kiti cha mbunge katika jimbo la Arusha mjini Hatimaye uchaguzi ukafanyika na matokeo yalionyesha kuwa mgombea wa TLP alishinda. Lakini aliyekuwa mgombea wa chama cha mapinduzi ndugu FELIX MREMA Alimhonga lema shiling za kitanzania mil 100 akubali kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi na lema akapokea ela na kiti cha ubunge kikarudi ccm Chama cha TLP kupitia mwenyekiti wake waliamua kupinga matokeo hayo wakidai mgombea wao ndiye alishinda ni kweli lakin lema akamaliza ile bila viongoz wake alaf akaenda cdm
 
Hamuishiwagi hadithi za kutunga! Andika script uwapelekee wasanii wakacheze sinema unaweza pata hela!
 
Umemaliza ? au hadithi inaendelea ....[/QU hadithi inaendelea TLP ilipotoa ela za kufungua kesi lema akakubali kufungua kesi huku akijua kuwa ameshapokea ela ya ccm baadaye lema akamua kumaliza ile kesi bila kuwashirikisha viongoz wa TLP Hal ambayo hata wananchi wanaijua hata katika mwaka wa 2010 wananchi waliokuwepo pale halimashauri ya wilaya ya Arusha walimwambia lema usiuze kura zetu kama 2005 kumbe hata wananch wanajua kuwa lema alishinda 2005 lakin kwa tamaa ya pesa akauza sh mil 100 na chadema lema alienda kwa sababu ya umarufu wa mwenyekiti na katibu wake hal iliyopelekea yeye kuonekana ana nguvu
 
Wengi hapa tz wanadai lema kaachishwa ubunge kwa hila huo ni upande mmoja ni vema tukaangalia na historia ya LEMA katika vyama vya siasa Je alifanya nini TLP mpaka akatoweka na kukimbilia CHADEMA? Kwanza kabisa lema alikuwa mwanachama wa TLP tangu mwaka 2000 ilipofika mwaka 2005 chama cha TLP kikamteua kugombea kiti cha mbunge katika jimbo la Arusha mjini Hatimaye uchaguzi ukafanyika na matokeo yalionyesha kuwa mgombea wa TLP alishinda. Lakini aliyekuwa mgombea wa chama cha mapinduzi ndugu FELIX MREMA Alimhonga lema shiling za kitanzania mil 100 akubali kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi na lema akapokea ela na kiti cha ubunge kikarudi ccm Chama cha TLP kupitia mwenyekiti wake waliamua kupinga matokeo hayo wakidai mgombea wao ndiye alishinda ni kweli lakin lema akamaliza ile bila viongoz wake alaf akaenda cdm

kudadeki mbona ihi ni kama heading tu mkubwa jitaidi kuweka minofu walau 2pate pa kutafuna
 
Wengi hapa tz wanadai lema kaachishwa ubunge kwa hila huo ni upande mmoja ni vema tukaangalia na historia ya LEMA katika vyama vya siasa Je alifanya nini TLP mpaka akatoweka na kukimbilia CHADEMA? Kwanza kabisa lema alikuwa mwanachama wa TLP tangu mwaka 2000 ilipofika mwaka 2005 chama cha TLP kikamteua kugombea kiti cha mbunge katika jimbo la Arusha mjini Hatimaye uchaguzi ukafanyika na matokeo yalionyesha kuwa mgombea wa TLP alishinda. Lakini aliyekuwa mgombea wa chama cha mapinduzi ndugu FELIX MREMA Alimhonga lema shiling za kitanzania mil 100 akubali kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi na lema akapokea ela na kiti cha ubunge kikarudi ccm Chama cha TLP kupitia mwenyekiti wake waliamua kupinga matokeo hayo wakidai mgombea wao ndiye alishinda ni kweli lakin lema akamaliza ile bila viongoz wake alaf akaenda cdm

Unaumwa ni bora ukatibiwe.
 
Umemaliza ? au hadithi inaendelea ....[/QU hadithi inaendelea TLP ilipotoa ela za kufungua kesi lema akakubali kufungua kesi huku akijua kuwa ameshapokea ela ya ccm baadaye lema akamua kumaliza ile kesi bila kuwashirikisha viongoz wa TLP Hal ambayo hata wananchi wanaijua hata katika mwaka wa 2010 wananchi waliokuwepo pale halimashauri ya wilaya ya Arusha walimwambia lema usiuze kura zetu kama 2005 kumbe hata wananch wanajua kuwa lema alishinda 2005 lakin kwa tamaa ya pesa akauza sh mil 100 na chadema lema alienda kwa sababu ya umarufu wa mwenyekiti na katibu wake hal iliyopelekea yeye kuonekana ana nguvu

Kumbe Lema anakubalika, kama walijua kaziuza kura zao na bado wakampigia kura, Arusha kuna shida!!! Lakini la muhimu ni kuwa ameshinda mara mbili na hata ya tatu atashinda maana watu wake wanampenda na hawawezi kumpenda kwa sababu ni mwongo. Duniani hakuko kihivyo. Na mwisho kama alikuwa TLP ni vema kama alijiengua maana mbona kwa sasa angekuwa kama kikatuni ndani ya bunge? Akiwa na mhe. wa kikombe cha babu asingeweza kusema neno.
 
Wengi hapa tz wanadai lema kaachishwa ubunge kwa hila huo ni upande mmoja ni vema tukaangalia na historia ya LEMA katika vyama vya siasa Je alifanya nini TLP mpaka akatoweka na kukimbilia CHADEMA? Kwanza kabisa lema alikuwa mwanachama wa TLP tangu mwaka 2000 ilipofika mwaka 2005 chama cha TLP kikamteua kugombea kiti cha mbunge katika jimbo la Arusha mjini Hatimaye uchaguzi ukafanyika na matokeo yalionyesha kuwa mgombea wa TLP alishinda. Lakini aliyekuwa mgombea wa chama cha mapinduzi ndugu FELIX MREMA Alimhonga lema shiling za kitanzania mil 100 akubali kwamba ameshindwa kwenye uchaguzi na lema akapokea ela na kiti cha ubunge kikarudi ccm Chama cha TLP kupitia mwenyekiti wake waliamua kupinga matokeo hayo wakidai mgombea wao ndiye alishinda ni kweli lakin lema akamaliza ile bila viongoz wake alaf akaenda cdm
2005 mbunge alikuwa felx mrema au batilda buriani?acha uzushi usio eleweka
 
Back
Top Bottom