Yaliyojiri Usaili wa JKT Iringa Mjini na Vijijini

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wasailiwa walipata neno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa ndugu Richard Kasesela. Akisema Usije ukatoa hata senti tano yako kwa nafasi hizi za JKT.

Sergent mmoja ambaye hakujitambulisha jina lake kutoka jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) alianza kwa salamu na Kutoa Takwimu kwa Iringa mjini Kuwa,

Darasa la 7 wanaotakiwa ni 4 Jumla ya maombi ni 284.

Kidato cha nne ni 16 waliomba ni 130

Kidato cha 6 ni 9 waliomba ni 12

Shahada na Stashahada ni 7 waliomba ni 80


Hapa ndipo Usaili wa Iringa vijijini Unafanyika

Note: Kulikua Hakuna Msichana wala Mvulana Wa Form 6 katika wilaya ya Iringa Vijijini Licha ya nafasi kuwepo 7.


Usaili unandelea kwa Iringa Vijijini hadi sasa.......


Hata hivyo ilivyofika majira ya Saa 11 Jioni yule Sergent alikuja na Copro (Wote wa JWTZ) na Kuwafukuza vijana Wote wa Iringa mjini waliokua wanasubiria Usaili na akatoa agizo kuwa Usaili utaendelea siku ya Jumatano saa mbili Asubuhi kwani Kesho ni Shamrashamra za Muungano.


Hivyo Nyomi (kama wasemavyo watoto wa mjini) likaondoka na kuwabakisha vijana wa Iringa vijijini.


Nalipoti kutoka Mawelewele zilipo moja kati ya Ofisi nzuri Kuliko za wakuu wa wilaya wote Tanzania.
72280695a3e82acbf38d1283d7c57150.jpg
032d2c733c9d9f374a40f94c9805d3ef.jpg
 
JKT Umekua kama dhahabu jamani ni kwann imekua namna hyo sasa vijana wataenda wapi?
 
Jeshi was created to brainwash people into following orders without questioning whether they are good or not.. Usiende kama hujajiandaa kwa hayo :eek::eek::eek::eek:
 
Jeshi was created to brainwash people into following orders without questioning whether they are good or not.. Usiende kama hujajiandaa kwa hayo :eek::eek::eek::eek:

I was there because of this order, and i surrender due to this statement.
 
Back
Top Bottom