Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

Basi tu nimeichoka CCM lakini Lema hakuna kitu, pumba tupu. Juzi amekimbia mjadala radio 5. Wenzake wa ACT na CCM wakashiriki. Anajiona yeye ni Mungu wa Arusha. Arudi shule akasome siasa. Siasa sio uadui kichwa maji!
 
huku likiwa zoezi labupigaji kura linaendelea na kwa kila sababu Lema ndiyo Mbunge tuhakikishe tunapiga kura yaani wewe na marafiki zako kieha tunalinda kura ifikapo saa kumi na mbili tuelekee Beta Njiro kwenye majumuisho hatutatoka huko mpaka Lema atangazwe mshindi...
Twende tukapige kura kwa wingi...
 
Mkuu hivi ni kweli M4C wote wameelekezwa wakaongeze nguvu kwa Red Brigedi na sasa 4 U Movement ndo imeshika uskani?
 
kata ya Sinoni kilinuka kati ya wafuasi wa chadema na ccm ikabidi PT nne zije kutuliza fujo ila hali imeshatulia baada ya ccm kufukuzwa na gari walilokuja nalo.
 
Hata kinana anajua hawezi basi anajitutumua tu.

Wana arusha mkapige kura sie huku tunapambana na kesi ya wenje tumtoe mabula alieenda bungeni kunusa harufu ya bungeni kisha kurudihwa mitaani akiwa hana cheo hata cha mjumbe wa nyumba kumi. Kesi inaanza kusikilizwa kesho.

HAPA UKAWA TU
 
Back
Top Bottom