Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

Mi mwenyew mwana ccm lkn dah arusha ofkoz ni ya lema tu na ccm kuchukua arusha co leo wala kesho tuujipange kwa vizazi vinavyokuja
 
Yule jangili mkuu wa Tembo Tanzania.....

Eeeeeeeh nimekumbuka mkuu asante sana kwa kunikumbusha nilimuona jana akanikumbusha mitaa ya kisayuni kule somalia sijui kama ana unasaba nako
 
Eeeeeeeh nimekumbuka mkuu asante sana kwa kunikumbusha nilimuona jana akanikumbusha mitaa ya kisayuni kule somalia sijui kama ana unasaba nako

Ni wakule hawa jamaa siunajua ndo wanamaliza Tembo wetu....
 
sioni sababu ya kufanya uchaguzi na kutumia pesa za uma bure, Arusha ishajipambanua. peeeeooooples!
 
Leo hii wana Arusha tunakwenda kutimiza tu wajibu wa kusimama mistari na kupaka rangi ya kucha kwenye vituo maalum maana tayari kama ni kupiga kura tayari tulisha mchagua mheshimiwa Lema kuwa mbunge wetu.

Kamanda Lema atashinda kwa kishindo ila jiji kama Arusha linahitaji mtu mwenye maono ya maendeleo zaidi ya kamanda lema
Nachelea kusema kwa ubabe wa maneno wa Kamanda Lema bila mikakati ya kimaendeleo ya Jiji.... Arusha yetu inaelekea Kuzimu!!!!

 
Wakuu natanguliza salamu , huu ni zaidi ya uchaguzi , ni zaidi ya kuchagua tu bali huu ni wasaa wa kufutilia mbali virusi vya ccm arusha , tupeane taarifa kuanzia maandalizi , ulinzi wa vituo pamoja na mwamko wa wananchi , hatua kwa hatua mpaka matokeo yatakapotangazwa , Nakala kwa Crashwise na Ephata Nanyaro .

We subiri matokeo. Ccm nda mlezi wetu
 
Last edited by a moderator:

Kamanda Lema atashinda kwa kishindo ila jiji kama Arusha linahitaji mtu mwenye maono ya maendeleo zaidi ya kamanda lema
Nachelea kusema kwa ubabe wa maneno wa Kamanda Lema bila mikakati ya kimaendeleo ya Jiji.... Arusha yetu inaelekea Kuzimu!!!!


Arusha itaendelea kushine tu
 
Kama ni mimi nawaambia wanipe ramani jinsi watakavyo muibia kura awe Lema,Sugu,Msigwa,Mnyika,Mbowe,Mbatia na hela za kampeni watoe wao ndiyo nakubali kugombea mkuu.

Mkuu uelewa huo na ujasili huo unao wewe lkn kwa magamba wanapelekeshwa tu kama makondoo
 
Kila la heri wana Arusha tafadhali msituangushe. Tupeni tena Lema
 
Kila kifaa kinachostahili kukitumia kwenye kushangilia na kuburudika baada tu ya kupiga kura kipo tayari maana wana Arusha tulishajitambua kitambo sana na ccm wanalijua hilo kuwa Arusha haiwahusu

Baada ya kuambiwa mtu wa kaskazini afai kupewa nchi.basi ccm ndio inaondoka kaskazini .A.CITY pamoko mazeeee
 
Kutokana na kipigo cha uchaguzi wa madiwani nimepata habari kuwa wapenzi wengi wa ccm wameamua kutokupiga kura kwani wanajua wazi ni kushindwa tuu. Watakuwa wameona bora kuendelea na shughuli zingine tuu kumbe zile blabla za Kinana hazijasaidia kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom