Yaliyojiri mkutano wa CUF Morogoro leo, CHADEMA wana sera ya kutaja mafisadi tu

Habara toka Morogoro Jioni ya leo Mh. Mustapha Wandwi na Mh. Mbalala Maharagande walieleza yafuatayo;
1. Zaidi ya kutoa orodha ya mafisadi Tz CHADEMA hawana jipya zaidi.
2. Nchi hii iliharibika awamu ya 3 ya Mh. Mkapa na si marais wengine
3. CUF imeimarika zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2010 kuliko 2005 kwa kuongeza wabunge 2 Bara tofauti na 2005.
4. CUF inazidi CHADEMA wabunge wa majimbo.
5. CUF ndiyo chama chenye wabunge Pemba na Ugunja na CHADEMA hakina hata mmoja.
6. Waziri wa SMZ kutoka CUF ndiye amepandisha bei ya karafu kutoka Tsh 3,500 Okt 2011 hadi Tsh 25,000 bei ya hivi sasa.
7. CUF ndiyo imeoa CCM tofauti ya CHADEMA wanaodai CUF imeolewa na CCM visiwani.
8. Wanaandaa mapokezi makubwa ya Prof wa Uchumi Dunia atakaporudi toka Marekani mwezi ujao.
9. Prof. Lipumba ni kati ya maprofesa 4 tu walioajiriwa na serikali ya Marekani kati ya maprofesa 300 waliofanya usaili ili waajiriwe
na Marekani.
10. Mkutano ulizidisha dakika 15 muda wa kawaida, licha ya polisi kutaka wafunge lakini walikataliwa.
11. Hakukuwa na kumkumbuka walau dakika moja kumkumbuka mwanasiasa aliyefariki Mh. Regia Mtema.
12. Hamad Rashid si mwanachama wa CUF anatapatapa tu.

I. sio kweli halikusemwa hilo pekee kamilisha nukuu kwamba ' CUF hatuwezi kuendelea na kupiga domo kuorodhesha list ya mafisadi tunaingia serikalini kudhibiti uwajibikaji kwa maslahi ya wananchi.
2. ni kweli awamu ya tatu na msingi wa kuharibika uliwekwa na nyerere. ufisadi wa epa ulifanyika awamu ya tatu.
3. kweli.
4. kweli.
5. kweli. na bara CUF ina wabunge 2
6. ni serikali ya SUK kwa pamoja wizara inaongozwa na muwakilishi wa CUF jimbo la Mtono znz
7. sio kweli.
8. kweli.
9. kweli. na si maprof 300, maprof 540 waliosailiwa.
10. kweli. dkk 11
11.kweli CUF taifa tulishatoa salamu za rambirambi na viongozi wa CUF watashiriki mazishi ifakara
12. kweli . baraza limeshafanya maamuzi hayo.

tuwe wakweli katika kutoa taarifa ili tuisaidie nchi yetu.
 
Bora cdm wana sera ya mafisadi kuliko sera za udini za cuf za mahakama ya kadhi na oic ambavyo havina mslahi yoyote kwa watz zaidi ya kueneza dini chafu uislamu. Kujiunga oic ni kuolewa na waarabu nadhani unaelewa faida za kuolewa na mwarabu kuwa ni pamoja na kugeuzwafgeuzwa watakavyo. Bora cuf wasgauri watz wanaopenda kuolewa oic wahamie nchi za kiislamu.
 
Back
Top Bottom