Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

1.jpg

wangejua kuwa wenzao wanatembelea mi v8 na wao wanapewa ...
252219_10151797330065506_302681152_n.jpg
 
Si umeanzisha thread unasema upo Mbagala saizi tena upo Kilwa Road.

Dah! Kwani pale Rangi Tatu ile bara bara ya lami inayoelekea Kimanzichana ----> Rufiji ----> Nangurukuru inaitwaje?? Au mtu akisema yupo Mbagala maana yake yupo chumbani kwake?
 
quote_icon.png
By peter tumaini

Wanabodi,

kwa sasa nimeshawasili hapa jangwani kuangalia kinachojiri,pilikapilika za upangaji wa viti vya plastic vyeupe unaendelea na uandaaji wa jukwaa umepamba moto huku mabango nayo yakiandikwa.

Mpaka sasa kuna bango kubwa la kitambaa limewekwa junction ya Morogoro road na kawawa limeandikwa;"KUHUSU VURUGU ZA UAMSHO CCM KUTOA TAMKO LEO SAA SITA''

Ugawaji wa T-shirt unaendelea hapa Jangwani na mambo mengine mtapata jinsi time inavyojiri.

Natumia laptop ndogo nimeificha kiaina staweza kutupia picha.
Nasubiri kwa hamu hicho watakachokisema kuhusu UAMSHO...!
 
WaLLAHI nipo juu ya ghorofa langu Kariakoo naangalia maeneno ya Jangwani na mandhari ya Darisalama ni JANI KIWITI ..kijani na Njano imetanda kote, mji umpendeza! Kijani rangi ya Uhai ..mishipa ya damu yote Kijani, taa za kuruhusu Kijani ni RANGI YA USHINDI KIJANI,... kwa mwendo huu naona ushindi wa kishindo 2015. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, CCm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,....... Vua Gwanda , Vua GAmba !!! vaa uzalendo wa kutimikia nchi yako !!!!
 
Leo mtasema mengi sana sana, ila kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji. Mpaka sasa CCM 3-CDM 0, na hapo mkutano haujaisha, mpaka ukiisha ni TWELVE NIL
Ushabiki wa kipumbavu,kwa vile baba yako anapata kidogo kupitia chama lenu hili unadhani na wenzio tukutane

tunapata kama nyie?
 
tz%7Dccm.gif
CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI:
Tarehe 9/6/2012:​

Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani,

Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na yaliyojitokeza jana!

Wenzetu wa chama cha makonda wa mkoa wa dar es salaam wameamua kuwazuia wanachama wetu kutopanda magari yao wakiwa na sare za chama tawala, hili si jambo jema na tunalilaani vikali!

Ninawasihi CHACHAMUDA waache kutafuta ugomvi na serikali, kuwazuia kupanda daladala watu waccm ni kinyume cha sheria za nchi

Baada ya hapo tumeamua kuweka utarati wa wanachama wetu kufika mkutanoni ambapo tutawapa usafiri!

Maroli ya kubeba wanaccm yapo tayari:

kimara, Ukonga, Kigamboni,Mbagala,Tegeta, na kwingneko,

Chama kinahela hivyo kukodi watu sio dhambi tunawapa usafiri wa kuja na kurudi sisi tunarudisha hela kwa wananchi, wakati wenzetu chadema wao wananyang'anya wananchi masikini hela zao,

Tuna siri nzito za wapinzani, tutazimwaga hapa zote, tutadili na upinzani tu maana uhakika wa kuendelea kushika dola upo!

CCM ni taasisi kubwa haimtegemei mtu wala kikundi, hatutamfukuza mtu, ila shughuli iliyo ndani ya chama ndio itakayomkimbiza mtu.

TWangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.

Chama kikishindwa uchaguzi wa 2015 mimi nipelekwe jela kwa kifungo cha maisha bila kuisumbua mahakama, yani nitoke lumumba moja kwa moja Segerea

Mwisho nawaomba wote mtakaokosa usafiri pandeni daladala njoo jangwani, chakula na vinywaji vitakuwepo bila kusahau bendi yenu ipo!


Nape M. Nnauye

Mdogo wangu Nape naona povu linakutoka saaaaaana,, na mbwembwe kibao mara ooh! CCM ikishindwa 2015 utaenda segerea ukafungwe maisha! Ufungwe kwa kesi ipi labda, bila shaka ushajua nn kitajiri baada ya uchaguzi 2015.

Hivi Nape na CCM yako kwa nn mnafanya yale yanayofanywa na CDM kana hamna jipya?

Ya nn kujitapa eti chama kinahela wakati sote tunafahamu hali tete kifedha inayotukabili watanzania.

Tena kwa taarifa yako usipumbaze watu eti mna hela wakati walofadhili huo mkutano wanafahamika,,,,, poleni sana mwisho wenu u karibu.
 
Mwe poleni sana wana magamba,kweli mmeshikwa pabaya hadi time hii mnachezewa nusu uwanja mabeki washachoka kwa foward ya CHADEMA,Peopleeeeee's power,aluta continua
 
Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi na hali ya hewa ni nzuri kabisa.

CCM wanatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jangwani ambavyo wapinzani wao wakuu walivibatiza kwa jina la viwanja vya CDM SQUARE.

Tayari shamrashamra zimeshaanza hapa uwanjani na shughuli za ujenzi na kupamba majukwaa zinaendelea.Mkutano huu utarushwa live na vituo kadhaa vya Television.

Tutakuwa hapa uwanjani kuwapa updates kila kitakachoendelea.

kaka tunakutegemea zaidi katika kutupa kila litakalotokea, hopefully wewe ndo utakuwa LIVE yetu
 
Back
Top Bottom